Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Eb nipe namba zake
 
Nilihonga heren za gold siku ya bday yake. Mpaka siku mtu anamwona kazivaa akamwamwuliza umenunua wapi, akamwambia nilipewa zawad. Yule mtu akamwambia kama ni mpenz wako mheshimu sana. Leo hii hata sijui aliko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuuu niliendaga bank nikachukua laki nane zilikuwaaga noti za tsh miatano miatano. Duuuu ziliniuma sana
 
Kishule shule mchizi wangu alipewa aniletee Biscuits za Eat some more,Saa ,body spray,na elfu 25 .

Ila nahisi jamaa alipiga cha juu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…