Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Tunawezaje kuthibitisha hili?
 
This verse from the Qur'an teaches us that Allah has made us all equal in His eyes but provided us with varying nations and races to allow us to know each other
Yale yalikuwa maoni/mtazamo tu ya muandishi kwa lengo maalumu.
 
Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Ni sawa na vile vitabu vinavyoelekeza sisi tulikuwa sokwe.
 
Mmeanza kuleta hekaya za vitabuni badala ya facts zenye ushahidi na uthibitisho.
 
Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Ukichunguza sana, vitabu vya kiimani vililetwa ili kuwapumbaza watu katika maeneo fulani kwa malengo maalumu; kulijua hilo itakulazimu uwaze nje ya box.
Kabla ya kuja kutawaliwa na warabu na wazungu, waafrika walikuwa wakiishi kwa imani zao za kimitambiko na walikuwa hawavijui hivyo vitabu vya wakoloni na maisha yaikuwa yanaenda.
​
 
Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of the mysteries we are trying to solve.

So we are still figuring out, Why are we here on earth? Why do we differ?

Questions are more than answers.
 
Mtoa mada kama wewe binafsi huamini katika Mungu basi usiulize maswali kama hayo, kwasababu hakuna majibu ya swali hilo nje ya vitabu vya dini.

Kama yupo mwenye majibu nje na vitabu, aweke hapa facts zake..... Naamini hakuna........
 
Imagine mtu asiyejua kusoma wala kuandika kaleta kitabu miaka efu iliyopita kilichokamilika na chenye kutoa maelekezo ya maisha na majibu ya kisayansi hadi leo , hakika mungu ni mkubwa
Aliandikaje na hajui kusoma na kuandika? Waliandika marafiki zake na manaswara. Ni jambo la kawaida tu. Sema ndo amesababisha sisi wengi tuchukie shule au elimu sababu yeye ndo role model.
 
Mtoa mada kama wewe binafsi huamini katika Mungu basi usiulize maswali kama hayo, kwasababu hakuna majibu ya swali hilo nje ya vitabu vya dini.

Kama yupo mwenye majibu nje na vitabu, aweke hapa facts zake..... Naamini hakuna........
Inawezekana wasomi wabobezi wakatusaidia kutupa majibu
 
Kwa mazingira hayo, unaamini hatuwezi kupata majibu?
 
Inawezekana wasomi wabobezi wakatusaidia kutupa majibu
Hakuna, kama yupo mtu aje aseme...

Kwa tunao amini mwanadamu aliumbwa kwa udongo, pia tunajua udongo upo wa rangi tofauti tofauti na wenye tabia au rutuba tofauti.

Pia binadamu wapo wa rangi tofauti na tabia tofauti au akili tofauti.

Mfano: Afrika ina ardhi yenye rutuba nyingi na watu wenye afya imara na miili imara, pia kuna mimea iliyo fungamana yaani misitu, na nywele za waafrika asili yake ni kufungamana au kipilipili.
 
Kwa mazingira hayo, unaamini hatuwezi kupata majibu?
Tunaweza kupata majibu.

Ndio maana nilikwambia, Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.

Majibu hayapatikani kwa haraka kwa sababu, Hata sisi binadamu ni sehemu ya maswali yanayohitaji majibu. Tunahitaji majibu ya sisi wenyewe.

Na wakutafuta majibu ni sisi wenyewe.

Na tunazaliwa bila kujua chochote, Hivyo ili kupata majibu inahitaji tujifunze sana, tutafiti sana, tudadisi sana na tufanye majaribio zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…