Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

Aliandikaje na hajui kusoma na kuandika? Waliandika marafiki zake na manaswara. Ni jambo la kawaida tu. Sema ndo amesababisha sisi wengi tuchukie shule au elimu sababu yeye ndo role model.
Alisisitiza elimu na kusema itafutwe hata uchina kumbuka zama hizo hakuna teknolojia wala usafiri kama sasa
Na mungu alifanya makusudi kuleta mtu asiye msomi na kutupa habari zote hizo bila ya shaka, laiti angekuwa msomi tungebisha na kusema ametunga
 
Kuanzia leo kama ulikuwa haujijui kuwa huna Akili Mimi nakusanua.

Chukua mfano huu:
wakati umezaliwa umepitia hatua mbalimbali za ukuaji mpaka hapo ulipo fikia kuna vingi vimebadilika kwenye maisha yako je ulitaka nawe ubaki vile vile?
hivyo ndivyo hao unaowaita mababu walipitia hata hao waarabu na wazungu walipita kwenye vipindi hivyo kabla hawajapewa hivyo vitabu.

Kwa kuwa hao mababu zako walikuwa ni wajinga na wewe unataka kuwa mjinga?
kwa vile walikuwa hawana dhana bora za kuendesha maisha yao unadhani ni jambo la kujivunia?

Kuna kitabu nje ya vitabu vya dini kinakataza Usizini,usiuwe,usiseme uongo mpende jirani yako,Oa nk,Je hayo ni mambo mabaya kufundishwa hao mababu zako?

Naomba nimalize kwa kusema Huna Akili.
 
Kabla ya kusema Ndizi si tamu inapendeza zaidi ukileta mbadala wa ndizi ili tuondoe njaa yetu kinyume chake acha ndizi kufa na njaa.

Mfano huu hauhusiani na ndizi!
Na wewe kabla ya kusema Allah(Mungu) ndiye jibu la maswali haya. Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
 
Kwa mujibu wa vitabu vya dini MUNGU alimuumba mtu mmoja tu kwa udongo. Hao wengine walizaliwa(walitokana na mtu) Sio udongo. So inawezekanaje dhana ya kuwa na udongo tofauti Inakawa na maana hapo wakati alie umbwa kwa udongo alikuwa mmoja tu..?? Au untaka useme kwamba MUNGU aliumba watu wa aina tofauti kwa udongo tofauti
 
Na wewe kabla ya kusema Allah(Mungu) ndiye jibu la maswali haya. Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu.
Ebu onyesha wapi nimesema jaribu hata kidogo kunionyesha.

Kinachojadiliwa na unacho komenti ni kitu tofauti kabisa.

Naamini kwamba kila kitu na wakati wake.
Wakati wa kumuona Huyo Mungu unayemkanusha utafika na utamuona wewe binafsi ni kama wewe ukiugua huwezi kunitaka mimi nithibitishe kiwango cha maumivu yako.
 
Hoja ya hali ya hewa na mazingira uwa nakubaliana nayo kwa mifamo kadhaa,hapa tanzania tu au East Africa utakuta watu wanafananana kutokana na kanda wanayotokea mfano ukiwaangalia wamburu,wamangati,wafiome,waasi wanafanana kutokana na mazingira wanayotoka the same applied to wamasai,watu wa mbeya iringa nk au wanyarwanda
 
siumize ntwe! ukifikiria rangi za mbwa ,ng'ombe paka na Mbuzi wenye rangi tofauti hutaumiza kichwa kuhusu ya binadamu.
Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.

Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.

Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…