Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
-
- #161
Kwa hiyo, manyani wa zamani baada ya kupigwa na jua ndio wakawa na ngozi laini na kuwa binadamu?Binadamu ametokana na specie ya nyani. Nyani walikuwa aina tofauti tofauti. Hivyo races hizi hazina chimbuko moja mkuu.
Ni transformation ya maelfu kwa maelfu ya miaka. Soma Darwin's theory. Hii dunia ina mamilioni ya miaka. You can't track the beginning.Kwa hiyo, manyani wa zamani baada ya kupigwa na jua ndio wakawa na ngozi laini na kuwa binadamu?
Kinazungumzia nini, na huyo muandishi ana uthibitisho wowote kwa hii mada?Tafuta kitabu kinaitwa Sapiens
Huyu Darwin alithibitisha au ulikuwa ni mtazamo wake tu?Ni transformation ya maelfu kwa maelfu ya miaka. Soma Darwin's theory. Hii dunia ina mamilioni ya miaka. You can't track the beginning.
Elezea kwa kina, kwamba walikuwa weusi wakapigwa na jua na kubadilika rangi au?
Kinazungumzia nini, na huyo muandishi ana uthibitisho wowote kwa hii mada?
Wanasayansi wanafanya tafiti kwa muda mrefu na wanakuja na evidence. Bandiko lake linatumika kama moja ya nadharia ya majibu ya chimbuko la mwanadamu. You can't ignore scientific research methods.Huyu Darwin alithibitisha au ulikuwa ni mtazamo wake tu?
Kwa hiyo mtu wa kwanza alikuwa wa rangi ipi?Hilo ndo jibu.
Genes hufanya mabadiriko over a long period of time....
Sasa ndo u avatar walokaa nchi za barafu kwa myaka mingi sana ..(weupe)
Walokaa nchi za joto kwa wastan (Uganda wa tropic) Hawa ni weus kutokaana na jua kuwa kali siku zote over very long period.
Alaf wale wa upende ambao una experience joto kali na bardi kali usiku (waarabu wa jangwani)
Alipoishia yeye inabidi na sisi tuendeleze ili kuupata ukweli zaidiWanasayansi wanafanya tafiti kwa muda mrefu na wanakuja na evidence. Bandiko lake linatumika kama moja ya nadharia ya majibu ya chimbuko la mwanadamu. You can't ignore scientific research methods.
Kwa hiyo mtu wa kwanza alikuwa wa rangi ipi?
Ebu fafanua mshanaHali za hewa zina athari kubwa kwenye maumbo rangi na tabia
Wachina,wazungu au wahindi wapo Tanzania na hawabadili rangi kuwa weusi? mshanaMiili hubadilika ngozi kulingana na hali ya hewa
😃😃😃😃😃Kwa hiyo, manyani wa zamani baada ya kupigwa na jua ndio wakawa na ngozi laini na kuwa binadamu?
Tatizo umeanza kuleta stori za kusadikika kutoka kwenye vitabuOkay. Ngoja nikujib.
Kuna theory nyingi. Mimi naamini ile moja inayosema mtu wa kwanza alikuwa wa dhambarau.
Na ukitaka kujua watu walianza kutofautiana rangi lini Somakitabù mwanzo kuanzia mrango wa 20 kama skosei.
Utakutana na maelezo mengi sana.
Utagundua kuwa watoto wa nuhu walikuwa Wana rangi moja isipokuwa watoto wao ndo wakaja kutofautiana rangi kufatana na maeneo wanayoish.
Pale utakuta maeneo ya mwafrica yanarejelewa kama
mizraim, Ethiopia, kush, misri na mengine.
Na yote hayo humanisha ardhi ya watu ambao ngozi zao zimechomwa na jua.
Natamani ningekujib kila utakachohitaji kujua but with much concern on Africa and its people.
Mfano je kizazi chetu kililaaniwa ??
Na mengi e mengi.
Una uthibitisho gani?Binadamu halisi ni mweusi tu, hao wengine ni wavamizi tu..........
Ni nini kilicho sababisha huo utofauti?Ni kama tu punda mlia na punda wa dobi