Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini.
Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta yanachoma mwili kama vile nimepakwa moto changanya na huu weupe nikawa mwekundu kama nimeungua moto.
Nikaenda hospitali nikaambiwa yale mafuta yalikua na viambata sumu nikatibiwa nikapona, tangu siku hiyo nikaamua nibaki nilivyo sikutaka tena kuhangaika ovyo na urembo mie naishi nilivyo napaka mgando maisha yanaenda na hakuna baya naloona.