Ni black tu to hiyo beauty😁
Kuna mtu amenitonya kwamba wewe ni mzuri na mrembo hatari, Flaviana Matata anasubiri!
Ni black tu to hiyo beauty😁
Wanataka weupe wasiozaliwa nao 😹Mafuta yenyewe ya magendo, lakini wakina mama mpaka wayapate na wapakae. 😊
Mzee naona huu uzi unautumia kutupia nyavu zako pole pole,Kuna mtu amenitonya kwamba wewe ni mzuri na mrembo hatari, Flaviana Matata anasubiri!
Huyu ni muongo anataka tu ukiniona tushindwe kusalimiana🤦🏽♀️Kuna mtu amenitonya kwamba wewe ni mzuri na mrembo hatari, Flaviana Matata anasubiri!
Wanataka weupe wasiozaliwa nao 😹
Nyie wanaume ndo chanzo cha yote mpk watu wanababuka ngozi..!!
Mme wa mtu huyo mkuu..Mzee naona huu uzi unautumia kutupia nyavu zako pole pole,
Good target and good location.
Mzee naona huu uzi unautumia kutupia nyavu zako pole pole,
Good target and good location.
haszuKuna miamba itakuja toa sababu kwa nini wameacha tumia vipodozi. View attachment 3588018
Ni ukweli ila wale wakujichubua wame drop deuce, neno "vipodozi "likaonekana la kishenzi 🤔Ni kipodozi! Usipopaka ngozi inapauka ukipaka ngozi inang'aa hapo tayari ushajiremba mkaka!
Fainali uzeeni! Nilichogundua ambao hawajikoboi wakizeeka wanakua na ngozi nzuriiiiii ila hawa kina binti Msumi wanatishaNi ukweli ila wale wakujichubua wame drop deuce, neno "vipodozi "likaonekana la kishenzi 🤔
Kufanya ,skincare regimen + dermatology + lifestyle , ni gharama mtu anaona ajikoboe tu .Fainali uzeeni! Nilichogundua ambao hawajikoboi wakizeeka wanakua na ngozi nzuriiiiii ila hawa kina binti Msumi wanatisha
Ngozi nzuri nayo ina asili yake! Kuna watu familia nzima hawapaki mafuta lakini ngozi inameleleta tu!Kufanya ,skincare regimen + dermatology + lifestyle , ni gharama mfu anaona ajikoboe tu .
Ngozi nzuri nayo ina asili yake! Kuna watu familia nzima hawapaki mafuta lakini ngozi inameleleta tu!
Nina rafiki yangu T mnubi huyo ngozi black beauty yeye mafuta ya nazi tu ila utafikiri ana bajeti mlima ya kutunza ngozi.
Asili pia inachangia! Angalia wapare, Wakurya, Warwanda walivyo na ngozi tamuMtu anapaka "Baby soft", ila anawaka hatari! Nahisi ni asili tuu ya mtu.
Ni kweli ila mazingira na athari sanaNgozi nzuri nayo ina asili yake! Kuna watu familia nzima hawapaki mafuta lakini ngozi inameleleta tu!
Nina rafiki yangu T mnubi huyo ngozi black beauty yeye mafuta ya nazi tu ila utafikiri ana bajeti mlima ya kutunza ngozi.
Asili pia inachangia! Angalia wapare, Wakurya, Warwanda walivyo na ngozi tamu
Umenikumbusha mbali sanaWamama wengi wazee , wenye umri wa miaka 45 mpaka 55 na kuendelea
Wengi wao waliokuwa wanatumia vipodozi huko zamani sura zao zina ukoko na nyeusi mbaya kwa kutokana na vipodozi walivyokuwa wanatumia, ukiwaona unawajua tu hawa walikuwa watumiaji wa vipodozi, wanaonekana kama walipataga majanga ya moto usoni, na kunusurika kufa kwa moto
Hii pekee inaweza kuwafanya warembo wakaachana na starehe ya muda mfupi
Hivi flaviana kumbe ni mzuriKuna mtu amenitonya kwamba wewe ni mzuri na mrembo hatari, Flaviana Matata anasubiri!
Hivi flaviana kumbe ni mzuri