Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

Macho yako yapo sawa mkuu.
Hatuwezi bishana kwenye hilo. 😁
Uzuri wa kitu/mtu upo ndani ya macho ya mtu husika. Kwa hiyo upo sahihi.
Angalau awe na tuvinyama kidogo😅
20260512_185739.jpg
 
Napenda sana urembo,, bila lipstick Bado sijatoka ndani.
Ukoo wangu wanajua hata tukiwa misibani utasikia tumsubiri mama Mimi anapaka lipstick

Vipo vitu vya kawaida, wanawale wanakuwa navyo kwenye closets zao! Lipstick naona ni kitu cha kawaida tuu.
Ishu ni kujibabua na mavipodozi makali.😁
 
Vipo vitu vya kawaida, wanawale wanakuwa navyo kwenye closets zao! Lipstick naona ni kitu cha kawaida tuu.
Ishu ni kujibabua na mavipodozi makali.😁
Lipstick ni urembo pia hata kujichubua ni urembo pia.
Kujibabua kunaenda na usafi, ili uweze ku mantain hiyo mibabuko usafi uwe mahala ihusike zaidi kuzuia harufu mbali mbali.
Wapo pia wasio jibabua na sio warembo.
 
Back
Top Bottom