Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

Shida hiyo ya kujaribu kila kitu km tester wa gongo [emoji81][emoji81]

Unatakiwa ujue aina ya ngozi uliyonayo then mafuta hayatakusumbua..!!
Black is beauty, watu wanakazana kuwa wamanga huku mtaani.

Rangi ya mtume ni rangi adhimu na ya dhahabu, cheusi mangala acheni kujipa afuheni bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijataja mtu Plz. [emoji23][emoji23]
 
Ni mindset zao tuu! Ila naona kama miaka hii imekuwa afadhali, miaka ya 90's akina mama waliharibika sana na mapodozi/mikorogo. Unakutana na mtu kawa mwekundu kama nguruwe.
Naona siku hizi kama kuna afadhali, longtime ilikuwa hatari. [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] mwekundu km [emoji241]??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwekundu km [emoji241]??

Longtime mavipodozi yalikuwa makali sana, mtu anaharibika kabisa, jua linamumiza kabisa. Mama zetu yaliwatesa sana mavipodozi hayo.
 
Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini.

Siku moja nikaambiwa mafuta fulani yanafanya ngozi iwe na mnga'ao wa kuvutia sana nikayatafuta nikayatumia kilichonikuta yale mafuta yanachoma mwili kama vile nimepakwa moto changanya na huu weupe nikawa mwekundu kama nimeungua moto.

Nikaenda hospitali nikaambiwa yale mafuta yalikua na viambata sumu nikatibiwa nikapona, tangu siku hiyo nikaamua nibaki nilivyo sikutaka tena kuhangaika ovyo na urembo mie naishi nilivyo napaka mgando maisha yanaenda na hakuna baya naloona.
Bila shaka sahivi utakuwa unafanana na chui wa kichina
 
Black is beauty, watu wanakazana kuwa wamanga huku mtaani.

Rangi ya mtume ni rangi adhimu na ya dhahabu, cheusi mangala acheni kujipa afuheni bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijataja mtu Plz. [emoji23][emoji23]

Basi ndo unavimba kishenzi, kisa rangi ya mtume! 😁
 
Black is beauty, watu wanakazana kuwa wamanga huku mtaani.

Rangi ya mtume ni rangi adhimu na ya dhahabu, cheusi mangala acheni kujipa afuheni bhanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijataja mtu Plz. [emoji23][emoji23]
😹😹😹 Uwe black afu bonge unakua km kiboko..!!

Black wanajifariji ila mwanamke mweupe anatazamwa sana..!!

Mbona hakuna mkorogo wa watu weupe kuwa weusi? Rangi ya mtume tramu bhana..!! 😹😹😹

Kujifariji huko veeepee!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu hapa wana wajaza upuuzi, huku mtaani watu wana haha na jiki na carolite,
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mno watu wanapaka mikorogo sana.!!
Wanaume wanafki sana 😹😹
 
Mambo ya walimbwende na kujipodoa 😀

Kwa uhalisia mwanamke akiwa na ngozi yake asilia anakuwa na mvuto wa aina yake ya pekee sana
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20260513_194106_Instagram.jpg
    Screenshot_20260513_194106_Instagram.jpg
    77.3 KB · Views: 16
Back
Top Bottom