Si kweli🤣Wanawake wengi watajibu Ndoa. Baada ya Ndoa tu wanaacha.
Urembo na vipodozi ni kubadili tu rangi ya ngozi?Huwa sina interest tu napenda kutumia mafuta kama Vaseline yasiyobibadilisha uhalisia wa ngozi yangu!
Huwa sina interest tu napenda kutumia mafuta kama Vaseline yasiyobibadilisha uhalisia wa ngozi yangu!
Na kama unatumia mafuta ya alizeti?Kama unatumia poda, mafuta ya kulegeza lips, mafuta ya nywele, perfume, lotion au mgando basi unatumia bidhaa za urembo na vipodozi.
Vipodozi sio kwa ajili ya kubadili rangi ya ngozi tu inaweza kua bidhaa ya kuboresha na kulinda ngozi au mwili wako kwa ujumla.
Kinapodoa nini? Mleta mada kasema ni mweuoe akababuka kuwa mwekundu means anazungumzia vipodozi vya kubadili ngozi kwa namna yoyote ile na si kuitunza! Or else tujipake mafuta ya nazi au ya kula sasa!Urembo na vipodozi ni kubadili tu rangi ya ngozi?
Mbona vaseline nacho ni kipodozi
Ni kipodozi! Usipopaka ngozi inapauka ukipaka ngozi inang'aa hapo tayari ushajiremba mkaka!Na kama unatumia mafuta ya alizeti?
Ni black tu toa hiyo beauty😁Safi, inaonekana huna gharama we mmama. Utakuwa ni black beauty. 😊
Shida hiyo ya kujaribu kila kitu km tester wa gongo 😹😹
Unatakiwa ujue aina ya ngozi uliyonayo then mafuta hayatakusumbua..!!