Kitu gani kilifanya uache kuhangaika na urembo na vipodozi?

Wanataka weupe wasiozaliwa nao 😹
Nyie wanaume ndo chanzo cha yote mpk watu wanababuka ngozi..!!

Ni mindset zao tuu! Ila naona kama miaka hii imekuwa afadhali, miaka ya 90's akina mama waliharibika sana na mapodozi/mikorogo. Unakutana na mtu kawa mwekundu kama nguruwe.
Naona siku hizi kama kuna afadhali, longtime ilikuwa hatari. 😊
 
Kufanya ,skincare regimen + dermatology + lifestyle , ni gharama mfu anaona ajikoboe tu .
Ngozi nzuri nayo ina asili yake! Kuna watu familia nzima hawapaki mafuta lakini ngozi inameleleta tu!

Nina rafiki yangu T mnubi huyo ngozi black beauty yeye mafuta ya nazi tu ila utafikiri ana bajeti mlima ya kutunza ngozi.
 
Ni kweli ila mazingira na athari sana
 
Umenikumbusha mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…