Kiboko tenaa? Wee uduguuu?? [emoji23][emoji23][emoji23].[emoji81][emoji81][emoji81] Uwe black afu bonge unakua km kiboko..!!
Black wanajifariji ila mwanamke mweupe anatazamwa sana..!!
Mbona hakuna mkorogo wa watu weupe kuwa weusi? Rangi ya mtume tramu bhana..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Kujifariji huko veeepee!!
Wanawajaza upepo tuu, [emoji23][emoji23][emoji23]Mno watu wanapaka mikorogo sana.!!
Wanaume wanafki sana [emoji81][emoji81]
Rafikii mie nasema tuu atiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Au sitakiwi kujivunia nilivyo?? Uwiiiih
Mbona zari bado ana paka na vina mtoaUrembo wa akina mama na mabinti, naonaga kama una muda. Dizaini mtu akifika 35 waga anarusha taulo na mambo ya urembo! 😁
Kuna age flan mwanamke akifika basi inakuwa imeisha.
Mbona zari bado anawakimbiza ?Fainali uzeeni! Nilichogundua ambao hawajikoboi wakizeeka wanakua na ngozi nzuriiiiii ila hawa kina binti Msumi wanatisha
Napokea, hata km ya kejeli, ila ni kweli nina rangi ya mtume tena OG.Sawa rafiki yangu mwenye rangi ya mtume. [emoji16]
Napokea, hata km ya kejeli, ila ni kweli nina rangi ya mtume tena OG.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji482]Sawa coca, nimekubali. [emoji4]
Bora wewe, mie nimekoma walahiHuwa sina interest tu napenda kutumia mafuta kama Vaseline yasiyonibadilisha uhalisia wa ngozi yangu!
Pole sana! Jipe muda kama hujaharibika sana ngozi itarudi kwenye uhalisia wake!Bora wewe, mie nimekoma walahi
😹😹😹😹 Sasa traco jeusi si linatisha jamani khaaaa..!!Kiboko tenaa? Wee uduguuu?? [emoji23][emoji23][emoji23].
Kuna jamaa m1 anasemaga wazi, "ukishakua na rangi ya mtume watu hawatazami trakooo, Trakoo ni kwa cheusi mangala tuu"
Wanajifariji mahii, "black is beauty" woiiiiih
Uzi ufungwee!![emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Sasa traco jeusi si linatisha jamani khaaaa..!!
Wajitahidi tu kuyapaka vipako hakuna black is beauty. Rangi ni moja tu ya umanga manga..!!
ushalewa wewe
Mrembo mwenye macho yenye genye changia uzi wenu,acha kuona aibu.wewe ni bwabwa
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona ku Glow, woooiiiih!!Mambo ya skin care na lotion zao mikorogo wenyewe wanaita ku glow, mavi matupu
hahaha the single mom is back, unahasira kama mbogo aliejeruhiwa hehe treeeeeeeeeenaaaaaaaa!Mambo ya skin care na lotion zao mikorogo wenyewe wanaita ku glow, mavi matupu