Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hiyo research imeshafanywa. ndio watu wenye IQ kubwa kuliko hata wazungu.Kama madai yako ni ya kweli wangekuwa wakwanza ku Split the Atom na kutengeneza Nuclear Fission na wangeweza kuwadhibiti Wamarekani kwenye Vita ya pili.
Wamegundua nini? usiniambie KIA na TOYOTA.hiyo research imeshafanywa. ndio watu wenye IQ kubwa kuliko hata wazungu.
Teknolojia ni pana sana mno huwezi kusema lazima wafnye kitu gani ..Kama madai yako ni ya kweli wangekuwa wakwanza ku Split the Atom na kutengeneza Nuclear Fission na wangeweza kuwadhibiti Wamarekani kwenye Vita ya pili.
Ni wangapi walijizolea NOBEL PRIZE kwanye Sayansi kwa mfano.Teknolojia ni pana sana mno huwezi kusema lazima wafnye kitu gani ..
Sasa tambua wachina hawa ukiwapelekea kitu chochot kile hata kama ni kipya kwao mfano teknolojia fulani ,hawawezi kuchukua muda washacopy.
Usiseme kwamba ni kucopy leo hii hapa Tanzania hata kucopy hatuwezi labda kukariri na kucopy notes..
Hao jamaa kweny masomo ya hisabati , physics wako njema hata wahindi nao ni noma.
Kwasababu hawali ugali.....Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?
Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
π π Science ipi ? Maendeleo ya china tena ya haraka yanaakisi uwezo wao..Ni wangapi walijizolea NOBEL PRIZE kwanye Sayansi kwa mfano.
Huo sio ugunduzi Wachina wanaiga kama walivyo Wajapan Technology walipewa na Waingereza na Wamarekani.π π Science ipi ? Maendeleo ya china tena ya haraka yanaakisi uwezo wao..
Yaani wachina mara nyingi huwezi kuwasoma kutokana na elimu yetu ya kizungu.
Fuatilia toppers kweny challenges zao na usishangae kweny mashindano ukakuta jamii za wachina na wayahudi wakiwakilisha Marekani kama raia.
hata kuiga na kufanikiwa kupita mulemule nako kunahitaji akili nzuri. mbona sisi tunashindwa kuiga?Akili
Huo sio ugunduzi Wachina wanaiga kama walivyo Wajapan Technology walipewa na Waingereza na Wamarekani.
Hata sasa hivi Maspy wao wengi wako Silicon Valley wanasubiri Wazungu wavumbue halafu wao waige.
Akili
Huo sio ugunduzi Wachina wanaiga kama walivyo Wajapan Technology walipewa na Waingereza na Wamarekani.
Hata sasa hivi Maspy wao wengi wako Silicon
Valley wanasubiri Wazungu wavumbue halafu wao waige.
Sisi ni ROHO MBAYA hujui kuwa Masoud Kipanya anatengeneza Magari lakini analogwa usiku na mchana.mbona sisi tunashindwa kuiga?
πππππππFala mmoja wewe mkuuSisi ni ROHO MBAYA hujui kuwa Masoud Kipanya anatengeneza Magari lakini analogwa usiku na mchana.
Nipe Credible source ya huu utafiti πKuiga ni kipaji kama kingine na ndio akili, maana hata kusoma kwetu sisi ni kukariri na kuiga yaliyopita ila wanzetu wanaendeleza kila kitu.
Jaalia bongo tungekuwa na uwezo wa kuiga
View attachment 2792887
Sisi hatuwezi kwasababu tuna roho mbaya na wivu, (kazopata), mtoto wa kati ya miaka 6-8 anauwezo wa kutumia aslimia 80 ya ubongo wake wenzetu kwakuligundua hilo mapema watoto wa umri huo wenye vipaji maalumu wanawaweka pamoja ,(nurturing ) na kuwafundisha vitu mbali mbali hivyo wanakuwa software engineers, doctors, wangali wadogo kwakifupi chochote anachoweza kuwa lakini nyie mtoto wa mjomba ndiye mnamfanyia hivyo tena akisha ondoka kwenye umri wa ubongo wake kutumia aslimia 80, yaani hatuwezi kufika hadi hapo watu watakapo jitambua angalau sasa watu mmeanza hata kulihoji hili yako mengi tunashindwa kwasababu ya kutumia akili zile zile zinazotengeneza tatizo, (zilizo tufikisha hapa tulipo). We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them. Albert Einstein. Mnaambiwa muhoji kwa staha mwizi wa fedha nyingi ataitwa fisadi na anaundiwa tume majibu ya tume yanabaki kwa mwenye tume hahaa. Tusome kuhusu, OSTRACISM, HERDING BEHAVIOR, SEL-ABSORBED PEOPLE AND AUTOCRATIC LEADRSHIP IN POLITICSHivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?
Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
Kaa mbali na mchina ni balaa hujaona mahojiano wa waziri wa mambo ya nje wa china na mtangazaji nadhani wa bbc, alimuuliza kuhusu kama amchukulia marekani na magharibi kama washindani alitoa data aise mwandishi alikaa kimya kila angle wamewazidi magharibi , kila angle mkuu from technology to everythingMchina huyu huyu anae copy na kupaste
Haya na Magari ya NYUMBU je acheni kujidharau na kuloganaπππππππFala mmoja wewe mkuu