Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

Kama madai yako ni ya kweli wangekuwa wakwanza ku Split the Atom na kutengeneza Nuclear Fission na wangeweza kuwadhibiti Wamarekani kwenye Vita ya pili.
Teknolojia ni pana sana mno huwezi kusema lazima wafnye kitu gani ..

Sasa tambua wachina hawa ukiwapelekea kitu chochot kile hata kama ni kipya kwao mfano teknolojia fulani ,hawawezi kuchukua muda washacopy.

Usiseme kwamba ni kucopy leo hii hapa Tanzania hata kucopy hatuwezi labda kukariri na kucopy notes..

Hao jamaa kweny masomo ya hisabati , physics wako njema hata wahindi nao ni noma.
 
Ni wangapi walijizolea NOBEL PRIZE kwanye Sayansi kwa mfano.
 
Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?

Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
Kwasababu hawali ugali.....
 
Honestly, sijawahi kuona mchina kwenye mambo professional alafu akawa ana bahatisha, maoni yangu kwa kuwatazama.

1. Juhudi na focus kwenye kila kitu wanachotakiwa kufanya.

2. Nidhamu kwenye maisha, afya, muda, kuwaheshimu wakubwa zao na ndugu zao.

Binadamu yoyote asiye na tatizo la Ubongo anaweza kufanya na kujifunza lolote, binadamu ni most intelligent organism kwenye uso wa dunia.

Namba 1 na 2 utaipata kwa Wayahudi wengi.

Sababu inayotufanya tuwe na tofauti ya wazi, "Ulazima wa kuwa hivyo", au naweza sema "Necessity is mother of invention."

Bara la Africa, lina hali nzuri ya hewa kwa ajili ya kilimo, kuna misitu na mahitaji ya msingi ya jamii kuishi na kusurvive, kwa hiyo inatufanya tusiwe na haja ya kutumia akili yetu yote.

Wazungu/Wachina/Wakorea wao wamekuwa wanaishi kwenye baridi na mazao, wanyawa na vitu vingine muhimu vinahitaji uunde zana tofauti za uwindaji, ujenge makazi maalumu.

Pia kwa sababu wako kwenye eneo dogo risilo na mahitaji mengi inawapelekea kushindania rasilimali ndogo zilizopo, mwisho wa siku wakaanzisha tawala, na civilization baadae na kupelekea kuwa na mifumo au Taasisi za kielelimu na kuchochea maendeleo na tafiti. Wakati, Waafrika hatukuwa au tulichelewa kuwa na concepts za centralized governments, mwisho wa siku kuna traces ndogo sana Taasisi zetu za Elimu, zaidi ya ngoma za asili.
 
Ni wangapi walijizolea NOBEL PRIZE kwanye Sayansi kwa mfano.
😅😅Science ipi ? Maendeleo ya china tena ya haraka yanaakisi uwezo wao..
Yaani wachina mara nyingi huwezi kuwasoma kutokana na elimu yetu ya kizungu.

Fuatilia toppers kweny challenges zao na usishangae kweny mashindano ukakuta jamii za wachina na wayahudi wakiwakilisha Marekani kama raia.
 
Akili

Huo sio ugunduzi Wachina wanaiga kama walivyo Wajapan Technology walipewa na Waingereza na Wamarekani.

Hata sasa hivi Maspy wao wengi wako Silicon Valley wanasubiri Wazungu wavumbue halafu wao waige.
 
hata kuiga na kufanikiwa kupita mulemule nako kunahitaji akili nzuri. mbona sisi tunashindwa kuiga?

ila innovations zote mpya na za kisasa, huletwa na mashetani na zilishakuwepo kitambo sana huko kwenye ulimwengu wa giza, na wote wanaofanya innovations huwa ni maajenti na hata kama sio ajenti jua anatumiwa.

angalia kwenye Biblia, ulishawahi kuona genius hata mmoja? majenius wote huwa ni wanadamu wenye vinasaba na mashetani, na hata ukiwaangalia akili zao utakuta sio watu wa kawaida, kama machini fulani, hawapo sawa. na ulimwengu mwingi wa giza milango hiyo wazungu wanayo.
 
Akili

Huo sio ugunduzi Wachina wanaiga kama walivyo Wajapan Technology walipewa na Waingereza na Wamarekani.

Hata sasa hivi Maspy wao wengi wako Silicon

Valley wanasubiri Wazungu wavumbue halafu wao waige.

Kuiga ni kipaji kama kingine na ndio akili, maana hata kusoma kwetu sisi ni kukariri na kuiga yaliyopita ila wanzetu wanaendeleza kila kitu.

Jaalia bongo tungekuwa na uwezo wa kuiga
smartest-countries-in-the-world.png
 
Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ?

Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
Sisi hatuwezi kwasababu tuna roho mbaya na wivu, (kazopata), mtoto wa kati ya miaka 6-8 anauwezo wa kutumia aslimia 80 ya ubongo wake wenzetu kwakuligundua hilo mapema watoto wa umri huo wenye vipaji maalumu wanawaweka pamoja ,(nurturing ) na kuwafundisha vitu mbali mbali hivyo wanakuwa software engineers, doctors, wangali wadogo kwakifupi chochote anachoweza kuwa lakini nyie mtoto wa mjomba ndiye mnamfanyia hivyo tena akisha ondoka kwenye umri wa ubongo wake kutumia aslimia 80, yaani hatuwezi kufika hadi hapo watu watakapo jitambua angalau sasa watu mmeanza hata kulihoji hili yako mengi tunashindwa kwasababu ya kutumia akili zile zile zinazotengeneza tatizo, (zilizo tufikisha hapa tulipo). We can't solve problems by using the same kind of thinking we used when we created them. Albert Einstein. Mnaambiwa muhoji kwa staha mwizi wa fedha nyingi ataitwa fisadi na anaundiwa tume majibu ya tume yanabaki kwa mwenye tume hahaa. Tusome kuhusu, OSTRACISM, HERDING BEHAVIOR, SEL-ABSORBED PEOPLE AND AUTOCRATIC LEADRSHIP IN POLITICS
 
Mchina huyu huyu anae copy na kupaste
Kaa mbali na mchina ni balaa hujaona mahojiano wa waziri wa mambo ya nje wa china na mtangazaji nadhani wa bbc, alimuuliza kuhusu kama amchukulia marekani na magharibi kama washindani alitoa data aise mwandishi alikaa kimya kila angle wamewazidi magharibi , kila angle mkuu from technology to everything
 
Back
Top Bottom