Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

Masai dada safi sana. Umeanzisha uzi umesupport mwanzo mwisho. Wengine wanaanzi uzi wanapotelea mtini. Big up. To be honest nimekupenda bure..... safi sana...

nimejifunza mengi kwenye huu uzi
hope wenxangu pia wamejifunza
 
Yaani sipendi nimeingia kwa faragha halafu binti anaanza kuniambia nimechoka mara sijui sijisikii vizuri mara naumwa yaani sipendi balaa
 
hako katabia kakubanwa na mkojo kabla ya nanii kanawakumba wengi na kanakera sio mchezo

masai dada sio wote wanaenda kukojoa....nilikuwa nadate na kaka mmoja hivi, kabla ya mechi anadai mkojo umembana...siku nikamvizia, kumbe anaenda meza vidonge au anakunywa mafuta ya taa.
Khaaaa!!!! wanaume watu wa ajabu sana
 
Last edited by a moderator:
masai dada sio wote wanaenda kukojoa....nilikuwa nadate na kaka mmoja hivi, kabla ya mechi anadai mkojo umembana...siku nikamvizia, kumbe anaenda meza vidonge au anakunywa mafuta ya taa.
Khaaaa!!!! wanaume watu wa ajabu sana

yawezekana kweli aiseee
akafu unakuta hana wala tatizo unakuta ni kutaka tu kuweka heshima kwenye gemu

ila madam b hadi mafuta taaa ????? aisee
 
Last edited by a moderator:
Yaani sipendi nimeingia kwa faragha halafu binti anaanza kuniambia nimechoka mara sijui sijisikii vizuri mara naumwa yaani sipendi balaa

bora akambie kablda si ndio eeh?????
 
Au utakuta unaingia faragha na demu halafu anaanza kukupa masharti mara aaah! hivi mi sikai unamwambia basi kaa hivi aaah! mi sikai yaani kila staili unayojaribu kumwambia akae ili umpe raha nawe upate anazingua yaani sipendi balaa kwani inakata stimu kabisa au utakuta demu mwingine masharti yake yapo kwenye muda utakuta anakwambia muda huu mfano alfajiri sitaki na sipendi kufanya ukimgusa utasikia sitaki bhana yaani inakera sana jameni. Ila mabinti/wanawake fahamuni kuwa nyie mmepewa jukumu la kujenga nyumba zenu tofauti na hapo mtazibomoa kwa mikono yenu wenyewe.
 
Hahaha
 
Kumbushia baadae

mkiwa mmepumzikam

unajua atoto lazima uheshimu kazi???????
kazi ya faragha usichezee bora uchezee ya mkoloni

kuongea wakati wa faragha ni sawa na kuongea mambo ya nyumbaninkwa mkoloni

waje wapumzike huku kidogo......

Na aseme waziwazi lakini sio wakati wa faragha SI NDIO????

Si utoe experience yako na wewe sio kusoma ya wenzako tu

anabania teh teh

vipi kuhusu wewe Heaven on earth?

Mpenzi wako ndo anachukia au wewe????
mi nishaitupaga chini na mpaka sasa hivi imepasuka screen

sipendi simu iite kabisa wakati huo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…