masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
- #521
kunuka mdomo
kama ni usiku basi muwe mnapiga mswaki kabla ya kilala
kama ji kawaida yake
nenda hospitalin hicho kinywa kitakuwa kinashambuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunuka mdomo
Masai dada safi sana. Umeanzisha uzi umesupport mwanzo mwisho. Wengine wanaanzi uzi wanapotelea mtini. Big up. To be honest nimekupenda bure..... safi sana...
nimejifunza mengi kwenye huu uzi
hope wenxangu pia wamejifunza
Mi nimejifunza vingi sana. Cpendi wavivu kazini kweli. Anakuachia gemu na act fake. Mara utasikia nimefika mwaga bhana kumbe wap.!
hako katabia kakubanwa na mkojo kabla ya nanii kanawakumba wengi na kanakera sio mchezo
masai dada sio wote wanaenda kukojoa....nilikuwa nadate na kaka mmoja hivi, kabla ya mechi anadai mkojo umembana...siku nikamvizia, kumbe anaenda meza vidonge au anakunywa mafuta ya taa.
Khaaaa!!!! wanaume watu wa ajabu sana
Yaani sipendi nimeingia kwa faragha halafu binti anaanza kuniambia nimechoka mara sijui sijisikii vizuri mara naumwa yaani sipendi balaa
akijamba hadi naishiwa nguvu!
Utamvua nguo zote.. kuna nguo moja ya mwisho kumvua ndo ugomvi!! Mpaka umvue utumie nguvu za kutosha..
HahahaIle kitu haiitaji kanuni nyingi sana na complication ni popote na saa yoyote kwa wale wenye wake zao na wanaishi bado hawana mtoto, lakini pia kwa wapenzi wanaotembeleana au kwenda sehemu kwa ajili ya hilo tu.
Kipi kinakukera mpenziwe anavyofanya au kusema wakati wewe akili yako imefunga mafaili yote lililopo ni moja tu juu ya meza, kula maraha unakuta mnataka tu kuingia ile pepo baby anasema "ngoja nikaoge" mmeanza unasikia kwa mashosti "ile laki unajua naihitaji sana "wanaume "ngoja nipumzike kidogo"
Binafsi hukereka zaidi na hii kuzungumza habari za ''hela, kazi'' wakati tunataka kufanya mapenzi. Tafadhali tumia lugha ya staha kueleza kero yako tunaweza kujifunza kwamba upande huu haupendi hiki na upande ule haupendi hiki kumbuka hapa sio JLW kwahiyo samahani halahala.
Hili somo zuri, ngoja niwasubiri waje, baadhi wapo kule walipoambiwa "MKALE MALIMAO"
Kumbushia baadae
mkiwa mmepumzikam
unajua atoto lazima uheshimu kazi???????
kazi ya faragha usichezee bora uchezee ya mkoloni
kuongea wakati wa faragha ni sawa na kuongea mambo ya nyumbaninkwa mkoloni
waje wapumzike huku kidogo......
Na aseme waziwazi lakini sio wakati wa faragha SI NDIO????
Si utoe experience yako na wewe sio kusoma ya wenzako tu
anabania teh teh
vipi kuhusu wewe Heaven on earth?
Mpenzi wako ndo anachukia au wewe????
mi nishaitupaga chini na mpaka sasa hivi imepasuka screen
sipendi simu iite kabisa wakati huo
Ndo umwambie sasa kwamba hupendi hilo swala
na sio wewe tu
unakuta mtu anangangania sim kama nini
sim hasa wadada na baadhi ya wakaka hutumia muda mwingi kqenye sim akiwa nampenzi wake jambo linalowanyima muda mwingi wa kuongea na YUPO RADHI MUINGIE FARAGHA DAKIKA 5 HARAKA HARAKA ARUDI KWENYE SIMU hana muda wa kuongea na kuwa romantic wala kumuuuliza mwenzio apendacho atakacho
mbadilishe chakula msibadilishe yeye kawaida tu
ki ukweli hilo swala ni changamoto
binafsi mi naona ni bora kutoa si mlio na kuiweka mbali mkiwa na wapenzi au kuzima kabisa