Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio misingi yangu, nimekuuliza hiyo misingi ya haki sawa tunayoidai(wanawake) unaijua?? Ukishaijua hutouliza tena hilo swali
Mimi honestly i dnt keep things kama nikiona mtu anaenda ndivyo sivyo, namuask maswali ya msingi mawili,matatu then majibu yake na actions zake after yatanipa maamuzi ya ku move on au kubaki.
Hivi ni why wanawake mnalalmik kutunzw wenyewe tu, huku pemben mkitaka haki sawa ?
Je vipi na ile kauli "fanya haraka mwenzio nilale"?
mimi sio muumini wa haki sawa na baba kijacho analijua hilo
Kuna siku moja mchuchu mmoja wa Kizenji alinambia 'bebi naomba basi laki tano nikatengeneza nywele'
Nikamwambia 'kamwombe baba'ako'.....akanuna mpaka leo hajanitafuta tena.
Eti laki tano nimpe akatengeneze nywele....angejua nilivopinda mgongo kubeba boksi wala asingethubutu kuniletea huo upuuzi.
Nakereka sana unapomuaandaa weee mambo yanazd kuwa matam zaid ya mcharo unaskia at ngoje niende wan yaaaan nakerekaaa nataman nmzabe vbaoo lakin ndo inabd ntulie papuch naitaka
Eeeeeeh mkuu umekiri Leo ni mbeba box ??
Kwani wapi nishawahi kukataa kwamba mimi si mbeba mabox?
Wewe kwani umejiunga lini humu JF mpaka usijue kwamba mimi ndo Rais wa Wabeba mabox?
Sina mda humu ...sema kuna wakati flani mada zenu za diaspora unakua mkali Sana wakati watu wakisema maisha ya wabeba ma box huku mlipo ni tabu Sana
Hivi kwa akili yako, mtu ambaye humjui hata anafananaje na kikweli kweli hujui hata alipo (maana ninaweza nikawa nadanganya naishi majuu kumbe naishi Bhugimbagu huko), utasemaje anaishi maisha ya tabu?
Kwa mfano wewe hapo, unaweza kujua kwa uhakika kabisa jinsi maisha yangu yalivyo?
Achana na maneno ya wehu hayo. Kazi yao kuropoka ropoka juu ya mambo wasiyoyajua.
labda shida yangu ni wewe rafiki....!!!Kwani naweye una shida rafiki ??
aisee, unanivutia....Ndio! Imenigusaaaa kunakooooo!
wa huzuni nyingi kivipi....???hapana alikwa ni mtu wa huzuni nyingi
mtu unapaswa kunena kwa kwa lugha, ndio kujiongeza kabisa....hahahahh
inakera sana
kuongea lugha ya mahaba kuna muhamasisha mtu
nae huwa anafanya ivyo....???Mi nachukia simu yaani ikibidi wote mzime simu muda huo.
Na kujifanya wanalala eti anapumzika saa nzima hadi stimu inaisha lol.
Kuna mtu wangu asiione hii