Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
jiepushe na mwanaume ambaye kwenye mahusiano ya kawaida hujui matumizi ya pesa yake. mkiingia kwenye ndoa utajikuta unanunua maji ya kuoga kunywa, chakula cha familia, pampers za mtoto mpaka kujenga nyumba!
Yaani Mokoyo leo umenifurahishaa, hebu chagua zawadi tafadhali
Last edited by a moderator: