Kitu gani kinakukera unapotaka kuingia faragha na mpenzi wako?

sure sipendi kuomba ela na sijui
ila kama hajiongezi yeye
TUKIWA NA FAMILIA ITAKUAJE??

jiepushe na mwanaume ambaye kwenye mahusiano ya kawaida hujui matumizi ya pesa yake. mkiingia kwenye ndoa utajikuta unanunua maji ya kuoga kunywa, chakula cha familia, pampers za mtoto mpaka kujenga nyumba!
 
nakwambiaje
kama mwanaume hajiongezi hata kukuletea chupi au lolote lile
HIVI ATALEAJE FAMILIA?????

mwanamke ana siku nyinhi sana katika mwaka ambazo hafanyi kazi ikowemo kubeba mimba na period so hata kama anafanya kazi lazima ahudumiwe
na sio mpaka umuombe

Kuhudumia huja automaticaly pale ur lady anapo kutrit like a KING nawe unamfanya QUEEN wako, otherwise tutatoana out, kula na kunywa no special treatmnt
 
jiepushe na mwanaume ambaye kwenye mahusiano ya kawaida hujui matumizi ya pesa yake. mkiingia kwenye ndoa utajikuta unanunua maji ya kuoga kunywa, chakula cha familia, pampers za mtoto mpaka kujenga nyumba!

sure...
mwanaume anaejiongeza ni raha hata kama hakupi kias kikubwa
 
Mkuu kwani huwa mnafanyana mkiwa kwenye kiza? taa lazma iwashwe

Siyo suala la giza au mwanga..., hebu fikiria mko katikati mtu anaanza kuzungumzia suala la Mimba, eti ukinipa mimba utanioa kweli...,
 
unacheka badala ulie..., hiyo inaonyesha mwenzako hana hata hisia, yupo kimaslahi tu..., mara unaanza kufikiria nimetegeshwa nn......, stimu kwishaaaaaaaa

ki ukweli mimi stakagi kitu chochote kiongelewe wala kifikiriwe kipindi cha kumake love
maana mi naona ndo kitu pekee chenye raha zaid duniani
 
mapepe kivipi

Yani mimi ndo source.. Unakuta tupo faragha au hata kama sio faragha from nowhere tu naanzisha mada yakukera kera tu inataka stimu kabisa na kuharibu hali ya hewa anakereka inakua kaugomvi flani
 
sio vizuri
badilika
 
kuomba pesa kabla na baada ya tendo ni tatizo kubwa ila ni bora baada ya .kucheleweshwa kukataa kwa makusudi alafu baadae ukubali ni tatizo jingine .kutaka ubembelezwe kupita kiasi kunaboa ,

.kujifanya uko bizzy na mambo mengine mfano simu chatting wakati unajua ni muda wa tukio ni ushamba ,kuahirisha ,kusingizia unaumwa na ma uko period kumbe uongo ni tatizo kubwa .

kusema mi sijisikii ukibembelezwa ndo unazidisha mapozi inakera. ningeolozesha mengi lakini hakuna lililonikuta kati ya hayo#
 
nakwambiaje
kama mwanaume hajiongezi hata kukuletea chupi au lolote lile
HIVI ATALEAJE FAMILIA?????

mwanamke ana siku nyinhi sana katika mwaka ambazo hafanyi kazi ikowemo kubeba mimba na period so hata kama anafanya kazi lazima ahudumiwe
na sio mpaka umuombe

Baaambie mama
 
kuomba pesa kabla na baada ya tendo ni tatizo kubwa ila ni bora baada ya .kucheleweshwa kukataa kwa makusudi alafu baadae ukubali ni tatizo jingine .kutaka ubembelezwe kupita kiasi kunaboa ,

.kujifanya uko bizzy na mambo mengine mfano simu chatting wakati unajua ni muda wa tukio ni ushamba ,kuahirisha ,kusingizia unaumwa na ma uko period kumbe uongo ni tatizo kubwa .

kusema mi sijisikii ukibembelezwa ndo unazidisha mapozi inakera. ningeolozesha mengi lakini hakuna lililonikuta kati ya hayo#

kama hamna lililokukuta kati ya hayo umejuaje ni kero?
may be umesimuliwa but thankx kwa kushea
 
sure sipendi kuomba ela na sijui
ila kama hajiongezi yeye
TUKIWA NA FAMILIA ITAKUAJE??

Wasiojiongeza wanakeraaaaaa basi tu, mtu anajitoa akili eti mpaka aambiwe, aiii unatupa kuleeee
 
Back
Top Bottom