sure sipendi kuomba ela na sijui
ila kama hajiongezi yeye
TUKIWA NA FAMILIA ITAKUAJE??
jiepushe na mwanaume ambaye kwenye mahusiano ya kawaida hujui matumizi ya pesa yake. mkiingia kwenye ndoa utajikuta unanunua maji ya kuoga kunywa, chakula cha familia, pampers za mtoto mpaka kujenga nyumba!