Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

Hii yangu inatisha kidogo,ilikua ji drc tumemtembelea best yetu anakaa jimbo ps bandundu,kufika gheto jamaa kama tunavyotundika jeans,tisheti,boksa, na yeye katundika smg,bastola,riffle,LMG,AK47,mpaka nyingine hatuIjui zinaitwaje,tunashangaa anatucheka2 anatuambia nyie mutu ya tZ waoga sana,chulua moya ukatumie
 
Chai
 
duh! Garage ya chumbani hio!
Kuna mda mambo yanavuruga mpaka unajisahau hata kupanga ndani, sema na mamdogo alitakiwa azingatie kupangapanga humo ndani na usafi wa mara kwa mara.
 
Nikiwa mdogo Mwaka 1991 niliingia kwenye geto la braza angu Mmoja hivi,.. Sasa kule Kijijini mageto ya vijana walikuwa wanapamba sana na magazeti... Yaani geto Zima unakuta limepambwa na magazeti... Sasa kwenye Ile geto braza naye alikuwa amepamba magazeti,... Mojawapo ya gazeti lilikuwa na picha ya wachezaji wa Simba Sports Club, mojawapo wa wachezaji namkumbuka alikuwa Method Mogella...Baada ya kuona Ile picha,.. nikaipendaga timu ya Simba mpaka Leo na nikajikuta nimekuwa shabiki wake moja kwa Moja...

Inashangaza.....
 
Inashangaza kiukweli! enzi hizo hamna mitandao ya kijamii.
 
Nliwahi ingia getho la kamanda mmoja mjeda mtu mzima halafu yuko single aisee nlishangaa kukuta masufuria juu ya kitanda na pia vyombo vichafu vina kama wiki mbili sufuria moja la ugali lina maji yametengeneza povu hilo mpaka nkamuuliza umejifunza lini kutengeneza libeneke.nlijua pombe ya kienyeji kumbe kaloweka nfugo ya ugali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Libeneke og
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…