Kitu gani ulikikuta kwenye nyumba au ghetto kikakushangaza sana?

😃😃😃😃😃😃😃

Kuna jamaa anatumia hita kupikia wali afu ikatoka Boko Boko 🤣🤣
 
Kwa dada mmoja rafiki yangu huko kibera kenya ana nyumba ya udongo ila ndani ni pa kali kinouma ana mpka chumba maalum cha kufanya sauna na meditation.
 
Kwa dada mmoja rafiki yangu huko kibera kenya ana nyumba ya udongo ila ndani ni pa kali kinouma ana mpka chumba maalum cha kufanya sauna na meditation.
duh! Hii kali [emoji1787][emoji1787]
Sauna ndani ya nyumba ya udongo sema unyama sana.
 
Nilishangaa mno
haha umenikumbusha story ya bibi mmoja mwanza anaitwa bi Fisi alikuwa bonge la witch alikuwa na kijumba kiduku cha udongo ila ndani ukiingia mazee ni bonge la mansion kuna jaccuzi, full ac, na mazaga kibao.
 
Hii sio chai kiongozi? 😂😂
 
duh! Garage ya chumbani hio!
Kuna mda mambo yanavuruga mpaka unajisahau hata kupanga ndani, sema na mamdogo alitakiwa azingatie kupangapanga humo ndani na usafi wa mara kwa mara.
yan ndio nilichojiuliza anawezaje kuishi nanstoo chini ya uvungu? ukichungulia huoni mwisho jinsi kumeshona
 
Mm nilienda nyumba Fulani ambayo kuna huduma wanauziaga Watu,siku hio ni Jumapili asubuhi nimeenda wakaona watanisubirisha Sana ,nikapelekwa ndani sebleni asee nyumba ni nzuri kilichonishangaza ni sebule jamani ni mkataba yaani ni kubwa kinooma
 
Kuagizwa muhuri kwenye dressing table na ulivyo dizainiwa mpk kujua nilichoka!!
 
Mm nilienda nyumba Fulani ambayo kuna huduma wanauziaga Watu,siku hio ni Jumapili asubuhi nimeenda wakaona watanisubirisha Sana ,nikapelekwa ndani sebleni asee nyumba ni nzuri kilichonishangaza ni sebule jamani ni mkataba yaani ni kubwa kinooma
sebule mkataba hio noma 😳
 
Kwa mara ya kwanza nilienda kumtembelea mtu nikakuta anakaa kwenye chumba kimoja nilishangaa Watu wanawezaje kuishi hivyo

Yaani humohumo jiko kitanda kochi na makorokoro kibao.. halafu chumba ni kidogo mno

Sema watu wa Dar noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…