Kitu gani ulishawahi kukisikia hukuamini kabisa lakini baadae ukajua ni kweli?

Yaani jina lako limekaa kiume hivi ila ukilichunguza vizuri ni kama linakataa hivi halafu linakuwa la kike

Kuhusu mwandiko wako wenyewe ni wa kike. NACHANGANYIKIWA MIMI
Usichanganyikiwe tena nimeshajitambulisha😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…