Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

Unaona kuna maana yoyote kwa huu uafanuzi?
Maana ipo wazi mkuu labda kama huja elewa, niulize
note : kutii ni moja ya adabu kwa mkubwa tena sana mfano wewe una mtuma mwanao ka ninulie kitu fulani kisha ana kujibu ushani tuma sana, sasa kama miguu unayo nenda mwenyewe na hapo ana kula nguvu yako, je uta mfanyaje ?, najua jibu unalo
 
Alimtoa mwanae wa pekee afe kwaajili ya dhambi za binadamu akamuacha shetani ibilisi ( hapa nikitafakari huwa naona kama kamba vile)
Kwa maana hiyo tusipotenda dhambi yesu itakuwa alikufa kwa kazi bure maana wanasema alikufa ili sisi tuokolewe na dhambi.
Tuendelee kutenda dhambi ili kifo na kusulubiwa kwake kuwe na maana
 
Maana ipo wazi mkuu labda kama huja elewa, niulize
note : kutii ni moja ya adabu kwa mkubwa tena sana mfano wewe una mtuma mwanao ka ninulie kitu fulani kisha ana kujibu ushani tuma sana, sasa kama miguu unayo nenda mwenyewe na hapo ana kula nguvu yako, je uta mfanyaje ?, najua jibu unalo
Kwa hio Allah alimruhusu shetani aendelee kutesa hapa duniani kwa sababu mwisho wake ni motoni?
 
Alimuomba (ALLAH) amuache hai, aka kubaliwa kuwa afe mwisho wa Dunia, maana yeye hana pepo hata iweje, yake ni moto hivo ana jitahidi apate wa kumpa kampani huko Motoni
Kwahiyo binadamu ni collateral damage 💔 😢
 
Back
Top Bottom