Kitu gani umejiuliza sana lakini hupati majibu?

Kuweka picha ya raisi kwenye kuta za ofisi, iwe sekta ya binafsi au ya serikali, si sheria rasmi katika nchi nyingi, bali ni zaidi ya desturi au mazoea. Mazoea haya yamejengeka kutokana na sababu kadhaa:

1. Ishara ya heshima na utii: Picha ya raisi inawakilisha mamlaka ya juu zaidi ya nchi, na kuweka picha yake ni njia ya kuonyesha heshima kwa nafasi hiyo ya uongozi. Ni ishara ya utii kwa mamlaka ya serikali na uwakilishi wa utawala wa nchi.

2. Utambulisho wa uongozi wa kitaifa: Ofisi nyingi zinataka kuonyesha wazi ni nani anayeongoza nchi kwa wakati huo. Kwa kuweka picha ya raisi, inakumbusha wafanyakazi na wageni kuwa wako katika taasisi inayofanya kazi chini ya utawala wa rais huyo.

3. Urithi wa utamaduni: Kwa nchi nyingi, imekuwa sehemu ya urithi wa utamaduni wa kisiasa kuweka picha ya rais katika maeneo ya kazi kama ishara ya utawala wa kitaifa. Hii inaweza kuwa mazoea yaliyorithiwa kutoka tawala za awali au mifumo ya kikoloni.

Kwa hiyo, ingawa si sheria, kuweka picha ya rais ni desturi inayokubalika kwa kawaida katika ofisi nyingi.
Mazoea mabaya sana sana. Kuna vitu vidogo vidogo vinavyofanya viongozi wetu wawe miungu watu na hili ni mojawapo.
 
Mimi huwa na jiuliza ni mimi tuu ninawaza hivi ama wote kwamba our life is matrix
1.unazaliwa
2.unasoma ama husomi
3.unatomba/ vice versa n.k ndoa
4..unakufa

Maana ya maisha ni nini ?

Kama Leo mimi na mjengo wangu( kasri) na Range nimezipata kwa shida unaniambia nitakufa shenzi kabisa

What is purpose of life?
 
Alimuomba (ALLAH) amuache hai, aka kubaliwa kuwa afe mwisho wa Dunia, maana yeye hana pepo hata iweje, yake ni moto hivo ana jitahidi apate wa kumpa kampani huko Motoni
Na akamwacha wakati kampa uwezo wa kutiririka kwenye damu yetu pia na uwezo mkubwa zaidi yetu.
Halafu kama anajua mwanzo na mwisho wangu, ina maana maisha yangu ashayapa mwelekeo hata nifanye nini kama kanipangia pepo au jehanamu siwezi liepuka. hapo ndipo huwa nachanganyikiwa.
 
Hapana mkuu, ndio maana Allah anataka tumuombe kila wakati na
tuombe mwisho mwema ili kushinda vishawishi vya shetani, kwa maana shetani kayapamba mambo mabaya yaonekane mazuri
SHetani anajua hatma yake na aliomba abakizwe na uwezo, na anajua fika kuwa hawezi kumpoteza mchamungu, Kwa maana hapi nafasi ya kua karibu nae
 
Kuna story moja sijui ya nabii gani, alikuwa anazunguka na malaika aliyekuja kama binadamu. yule malaika aliua mtoto yule nabii akawa anashangaa kwanini kamuua, baadaye akabomoa nyumba ya mjane na kuijenga sehemu nyingine. mwisho ndio akaanza kumfafanulia kuwa, yule mtoto angeachwa huko mbeleni angeleta maafa makubwa, ile nyumba ya mjane pale ilipo mbele mto utakuja kupita ndio maana kaihamisha.
In short it seems that our destiny is already planed and God knows it hata kabla ya kuzaliwa kwako.
 
H

Hiyo ni ktk bibilia au Quran, tuanzie hapo kwanza
 
Mimi Mkristo mkuu ila wakati niko sekondari nilikuwa so interested na yale mafundisho ya ijumaa baada ya sala hasa story za vitabu mbalimbali za hadithi. ndiko nilisikia huko huenda nimekosea some details maana ni zaidi ya miaka 20 imepita. nilikuwa naenda msktini na swali zama hizo.
 
Kwanini watu wengi wanajiua baada ya kusalitiwa na wapenzi wao? Lakini ni mara chache mtu kujiua kisa kafiwa na mzazi? Hii imekaaje wakuu?

Kwanini watu wengi wanajiua baada ya kusalitiwa na wapenzi wao? Lakini ni mara chache mtu kujiua kisa kafiwa na mzazi? Hii imekaaje wakuu

Kwanini watu wengi wanajiua baada ya kusalitiwa na wapenzi wao? Lakini ni mara chache mtu kujiua kisa kafiwa na mzazi? Hii imekaaje
Al
Na akamwacha wakati kampa uwezo wa kutiririka kwenye damu yetu pia na uwezo mkubwa zaidi yetu.
Halafu kama anajua mwanzo na mwisho wangu, ina maana maisha yangu ashayapa mwelekeo hata nifanye nini kama kanipangia pepo au jehanamu siwezi liepuka. hapo ndipo huwa nachanganyikiwa.

Hapana mkuu, ndio maana Allah anataka tumuombe kila wakati na
tuombe mwisho mwema ili kushinda vishawishi vya shetani, kwa maana shetani kayapamba mambo mabaya yaonekane mazuri
SHetani anajua hatma yake na aliomba abakizwe na uwezo, na anajua fika kuwa hawezi kumpoteza mchamungu, Kwa maana hapi nafasi ya kua karibu nae
Tumuombe wkt anajua tunayopitia jmn
 
Kwanini watu wengi wanajiua baada ya kusalitiwa na wapenzi wao? Lakini ni mara chache mtu kujiua kisa kafiwa na mzazi? Hii imekaaje wakuu?
Kufa tunategemea muda oote inaweza kutokea lkn unakuta mpenzi wako amekudanganya mpk haivumiliki inabid2 umtie kisu kwanza ukishajuta unajimalizia mwenyew basi inakua kuumizana kumeisha
 
Mimi Mkristo mkuu ila wakati niko sekondari nilikuwa so interested na yale mafundisho ya ijumaa baada ya sala hasa story za vitabu mbalimbali za hadithi. ndiko nilisikia huko huenda nimekosea some details maana ni zaidi ya miaka 20 imepita. nilikuwa naenda msktini na swali zama hizo.
Okay, huyo ni Mussa (a.s) pale alipo jiona ana elimu kushinda viumbe wote wa duniani (maana yeye ni mtume) hvo Allah (s.w) aka msahihisha Kwa kumpa challenge aende mahala kuna mtu ana elimu kubwa kumshinda yeye, na alimpokuta alimpa mashart kama kuto uliza maswali njiani ktk safari yao la kidume Mussa aka shindwa Kwa kua aliona kana kwamba huyo mtu ana kosea sana kumbe yeye ana yajua mengi mfano "walifika sehemu kuomba msaada wa maji na chakula waka nyimwa lakini wakasaidia ujenzi wa uKuta " hii nabii Musa alishindwa kuvumilia na aka laumu ,mwisho kabisa akaja ndege kutoa hitimisho na Mussa aka elezewa huyo dege ka maanisha nini, in shot Mussa anayo elimu na huyo mwalimu wake pia anayo elimu na elimu tuliokuwa nayo sisi binaadamu kwa ALLAH, sawa na huyo ndege kuchukua matone ktk Bahari (Allah ana elimu kubwa na tuijuayo sisi ni mfano wa hayo matone ya Bahari yachukuliwayo na ndege (machache sana)
Note: mwalimu wake ana alkhidhir (huyu mwamba ana siri nyingi na ana habari nzito)
 
Back
Top Bottom