Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

Kuiba mke wa mtu, niliibaga mpaka ikagundulika huko kwa sms wakaachana nikajiapiza kutorudia,ila kuna huyu mwingine,nilikuwa naweka kabla hajaolewa ila akaileta nikashindwa, bado anataka kuileta najua nitashindwa tena…. Mungu saidia.
 
kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi kwenye radio kuhusu madhara ya kujichua (punyeto) moyoni nikawa naapa sirudii tena.
lakini walivoanza kueleza punyeto za kina dada wakantia mzuka nikapiga, shenzi sana hisia.
 
Ngoja nikumbuke kwanza,nitarudi kuchangia,
 
Attachments

  • Screenshot_20230616-201508_Instagram.jpg
    Screenshot_20230616-201508_Instagram.jpg
    59.7 KB · Views: 8
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee[emoji3525] ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C.

NB: Najua tutaachana[emoji849] maana hamkawii[emoji855]
Kuvuta sigara
 
kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi kwenye radio kuhusu madhara ya kujichua (punyeto) moyoni nikawa naapa sirudii tena.
lakini walivoanza kueleza punyeto za kina dada wakantia mzuka nikapiga, shenzi sana hisia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ee ila Nimecheka sana daaah
 
kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi kwenye radio kuhusu madhara ya kujichua (punyeto) moyoni nikawa naapa sirudii tena.
lakini walivoanza kueleza punyeto za kina dada wakantia mzuka nikapiga, shenzi sana hisia.
😂😂😂😂 yani ukisikia mbegu zilizo angukia kwenye mawe ndo ww, ( wanalisikia neno lakin hawalitii)
 
Back
Top Bottom