Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena ni kwamba hakuna mafanikio bila kufanya kazi hata mwizi, fisadi, malaya wanafanya kazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hata ukitajiwa huyo mtu aliyefanikiwa kwa uchawi na uchawi aliyoufanya ni vp utajiridhisha kuwa ni kweli?
 
Duh!!!...
 
Aisee..
 
Narudia tena ni kwamba hakuna mafanikio bila kufanya kazi hata mwizi, fisadi, malaya wanafanya kazi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Shiriki hulainisha mambo yaende.
Mfano kwenye industry ya magari ya usafirishaji daladala au bajaji,
Mnakuwa mmepnga pale foleni, wote vibali vimekamilika, na wewe una gari mpya kuliko wenzako. Wateja wakija kumtafuta chombo ch kukodi, hawaioni gari mpya wanalipia wakimaliza kulipia ndo wanasema aisee mbona Kuna jingine zuri hapa tumeliacha.
Mnaenda road chombo yako traffic anaiona anaipiga mkono na unapigwa bao na traffic kisa kosa dogo tu. Wakati nyuma yako au mbele yako inaspita gari mbovu zaidi ...

Sio kwa uchawi unapunguza ufanyaji kazi, hapana unabweteka, ni unaingia mzigoni mida sawa au wewe unawazidi kidogo. Ila wakiwa wandewa wanasema gari chafu ikaoshwe inga'ae.

Kingine kwenye uchawi ni rahisi sana kukopeshwa spare part na mfanya shiriki kuliko kutofanya shirik kabisaa. Kwa hiyo hata kama umekwama ukisema jina na wakitazama nyotq wanaelewa huyu mwenzetu atatusaidiq

Bado Kuna michezo ya barabarani, Ili tuoate au kuharibikiwa jina la kampuni una shangaa gari inapata ajali ambazo hazina kichwa wa miguu , gari inasumbua abiria wamejaa level siti ngoma inatoka mbezi tu kufika kibaha compressor za brake zinafeli, clutch inatema, gari inakuwa nzito tuu kama umeweka kitu
 
Hata ukitajiwa huyo mtu aliyefanikiwa kwa uchawi na uchawi aliyoufanya ni vp utajiridhisha kuwa ni kweli?

Tunahitaji mtu ambaye ni notable na fame.
Mfano elon musk, adam d angelo,phil knight, aiko dangote larry ellison, larry pages

au watu kama diamond, alikiba, harmonize, na wengine wengi ambao wote wamefanikiwa kwa kufanya kazi
Mimi ukiniletea mtu yoyote anayejulikana hafanyi KAZI na ana pesa na anafahamika nipo tayari kukubaliana na wewe kwa asilimia zote.
 
🤣🤣🤣Sio story...afu tukaulize hiyo story sawa ban
 
Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unahangaika kujibizana nae wa nini? Muache aamini anachoamini na wewe ubaki na imani yako sababu hakuna anaelazimishwa kuamini kinachosemwa
 
Hauja ijua dunia, sijui umri wako ila nahisi bado mdogo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Umeona sasa...huo ujinga wako ndo unakufanya uone uchawi. Mbona wenzetu walioendelea hawakai kufikiria mauchawi, ni WA Africa tu Tena wenye maisha duni coz hamna elimu. Ukishajua biology huwezi amini uchawi. Ushawahi ona doctor anaamini uchawi. Vitu vingine fuatilieni bac ni Sayansi ya ubongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…