Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Jamaa kanichekesha sana. Yaani kampangua mshkaji kila hoja, halafu majibu simple kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kanichekesha sana. Yaani kampangua mshkaji kila hoja, halafu majibu simple kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani
Asante nimeona. Ila umeipiga pin, that's why nimeshindwa kureply.Nimekutumia msg PM
Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengiHukusema ilishindikana sababu bibi aligoma?
Halafu hizo mashine zilikwama vipi? Hiyo nyumba ilikuwaje to the extent bulldozer ishindwe kufanya kazi yake?
Ndiyo maana mwisho nikakwambia hizo ni stori za kuhalalisha stori yako.
Mimi nilizungumzia hallucinations ILA wewe ni stori za kufikirika na jamaa niliye mquote nilimpa na mifano kadhaa hata mimi ishawahi nitokea na rafiki wa karibu aliyepoteza mzazi wake.
Kafatilie tena nilichoandika mkuu
Nenda umakondeniNauhitaji sana uchawi leo mpaka kesho.
Ila sijaupata wala kuuona.
KabisaWana CCM aisee. Kwa mitazamo na akili zile halafu na bado wanaongoza nchi na kutusua kimaisha???? Aisee uchawi upo!
Narudia tena ni kwamba hakuna mafanikio bila kufanya kazi hata mwizi, fisadi, malaya wanafanya kaziSiwezi go in deep sababu sijafika hizo level in a nutshell mafanikio inahitaji jitihada kubwa ambapo wengi we are not ready for commitment and consistency.
Kufanikiwa ni kufata kanuni sababu kila mtu aliyefanikiwa alifanya KAZI na hiyo ndio basic foundation ya mafanikio.
Nilicho argue ni mtu anasema kufanikiwa ni uchawi ambapo naelewa uchawi ni vitu vya miujiza ya kufikirika tu ambavyo havina uhalisia
Ndo nilihitaji reference ya mtu aliyefanikiwa kwa namna hiyo ambaye hafanyi kazi na amefanikiwa.
Ukishafanya KAZI na una biashara hiyo tunaweza kuielezea katika kanuni za uchumi.
Labda mkuu nisaidie nani aliyefanikiwa kwa uchawi unayemfahamu?
Hata ukitajiwa huyo mtu aliyefanikiwa kwa uchawi na uchawi aliyoufanya ni vp utajiridhisha kuwa ni kweli?Siwezi go in deep sababu sijafika hizo level in a nutshell mafanikio inahitaji jitihada kubwa ambapo wengi we are not ready for commitment and consistency.
Kufanikiwa ni kufata kanuni sababu kila mtu aliyefanikiwa alifanya KAZI na hiyo ndio basic foundation ya mafanikio.
Nilicho argue ni mtu anasema kufanikiwa ni uchawi ambapo naelewa uchawi ni vitu vya miujiza ya kufikirika tu ambavyo havina uhalisia
Ndo nilihitaji reference ya mtu aliyefanikiwa kwa namna hiyo ambaye hafanyi kazi na amefanikiwa.
Ukishafanya KAZI na una biashara hiyo tunaweza kuielezea katika kanuni za uchumi.
Labda mkuu nisaidie nani aliyefanikiwa kwa uchawi unayemfahamu?
Duh!!!...Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Aisee..Nikiwa shule msingi miaka ya nyuma nikitoka shule Mwadui shinyanga ndani ya mgodi nilipishana na mtu tulipokaribiana nilishangaa kuna nguvu inanilazimisha kumpisha yule mtu umbali wa mita 5 pembeni mwa barabara hadi baada ya kupishana ndipo nikarudi barabarani. Hadi leo sijapata majibu yule mtu alikuwa na nguvu gani. Maana watu huwa wanapishana nusu mita au mita.
Upo la ngapi mkuu?
Mmmiliki wa mabasi ya mkoani. Yanaitaa libanikaUlisema hivi mafanikio yana miiko yake na njia zake, hukusema mafanikio yana siri nyingi.
Mimi nimesema tupe mfano wa mtu aliyefanikiwa kwa uchawi bado hujanipatia jibu mkuu mpaka sasa.
Napenda kujifunza zaidi nijue.
Shiriki hulainisha mambo yaende.Narudia tena ni kwamba hakuna mafanikio bila kufanya kazi hata mwizi, fisadi, malaya wanafanya kazi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata ukitajiwa huyo mtu aliyefanikiwa kwa uchawi na uchawi aliyoufanya ni vp utajiridhisha kuwa ni kweli?
Mbona haya mambo hayatutokei sisi...elewa we sio kila kitu ni uchawi vingine ni kushindwa kuelewa nguvu ya ubongo.Kuna mahali nimeandika huyo aliyerogwa alikuwa Ni mjinga Hana elimu? Mbona unakurupuka kurupuka hivyo?
Sijakuforce uamini nilichokiandika sawa?
Mmmiliki wa mabasi ya mkoani. Yanaitaa libanika
🤣🤣🤣Sio story...afu tukaulize hiyo story sawa banPale mwanza lilipo jengo la NSSF kwa sasa kulikua na bibi anamiliki eneo hilo yule bibi alikataa kutoka eneo hilo kupisha ujenzi pamoja jitihada zote za kumubembeleza zilishimdikaana ikabidi watumie nguvu huwezi amini bulldozer, excavator, wheel loader zote zilishishindwa kuvuja nyumba ya yule bibi inakitoka huko ikiwa nzima ikifika pale inapata breakdown kufupisha story yule bibi walimkalisha chini na kumsihi sana ndio akakubali nnacho kwambia sio story ya kusikia nlikua Mwanza miaka hio kaulize hio story
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unahangaika kujibizana nae wa nini? Muache aamini anachoamini na wewe ubaki na imani yako sababu hakuna anaelazimishwa kuamini kinachosemwaUkiamua kuwa mbishi hata uambiwe nini huwezi kukubali tembea uone dunia ina mengi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣Umeona sasa...huo ujinga wako ndo unakufanya uone uchawi. Mbona wenzetu walioendelea hawakai kufikiria mauchawi, ni WA Africa tu Tena wenye maisha duni coz hamna elimu. Ukishajua biology huwezi amini uchawi. Ushawahi ona doctor anaamini uchawi. Vitu vingine fuatilieni bac ni Sayansi ya ubongo tuHauja ijua dunia, sijui umri wako ila nahisi bado mdogo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app