Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Ok hiyo ni stori YAKO binafsi ILI ku justify stori yako.

Halafu mimi nilikuwa nazungumzia hallucinations na entoptic phenomena, wewe umeleta stori za kufikirika sijajua point yako ilikuwa ni nini.
Hio story haina relation na unacho ongea ila nlitaka kukujulisha nguvu za giza zipo ambayo ni sayansi pia ila haipo kwenye vitabu ulivyo soma wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kulala nao 24hrs ni maneno yako si yangu.
Nimesema wanafanya kazi kwa juhudi, sidhani kama diamond, hamronize wanalala tu halafu asubuhi wanakuta nyimbo zipo utube zinaenda viral.

sina la nyongeza zaidi ya kukubali kushindwa kwako.
Hauna unalo lijua bora ukae kimya, kwanza sija mention jina la mtu hao kina Diamond umewaleta mwenyewe pili kila mafanikio yana miiko yake na njia zake alikwambia nani mtu anae pata pesa kwa maagano hafanyi kazi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hio story haina relation na unacho ongea ila nlitaka kukujulisha nguvu za giza zipo ambayo ni sayansi pia ila haipo kwenye vitabu ulivyo soma wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Nadhani mkuu ukufatilia toka mwanzo, nilimjibu jamaa anayesema alikutana na mtu katikati ya barabara akapotea gafla ndo nazungumzia hallucinations.

Bibi kugoma kutoka hiyo si hallucinations, hizo ni stori za kutunga au uelewi hallucinations?
Nguvu za giza ndo nguvu gani hizo?
 
Hauna unalo lijua bora ukae kimya, kwanza sija mention jina la mtu hao kina Diamond umewaleta mwenyewe pili kila mafanikio yana miiko yake na njia zake alikwambia nani mtu anae pata pesa kwa maagano hafanyi kazi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Ukishafanya kazi tayari umefata kanuni hivi unalielewa hilo?
Embu elezea kuhusu uchawi unaosema watu wanafanikiwa?
 
Nadhani mkuu ukufatilia toka mwanzo, nilimjibu jamaa anayesema alikutana na mtu katikati ya barabara akapotea gafla ndo nazungumzia hallucinations.

Bibi kugoma kutoka hiyo si hallucinations, hizo ni stori za kutunga au uelewi hallucinations?
Nguvu za giza ndo nguvu gani hizo?
Rudi usome between the lines kwenye comment yangu nmesema kivunja nyumba ya yule bibi ikishindikana sababu kila machine walitlleta pale ikakwama sijui kama unazielewa machine nlizo mention point yangu ni kwamba sayansi asilia ipo mimi nmefanya biashara ya uvuvi nmeona mengi kwa sababu hua hamtaki kujifunza hua tuna waacha kama mlivyo!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Rudi usome between the lines kwenye comment yangu nmesema kivunja nyumba ya yule bibi ikishindikana sababu kila machine walitlleta pale ikakwama sijui kama unazielewa machine nlizo mention point yangu ni kwamba sayansi asilia ipo mimi nmefanya biashara ya uvuvi nmeona mengi kwa sababu hua hamtaki kujifunza hua tuna waacha kama mlivyo!

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Hukusema ilishindikana sababu bibi aligoma?

Halafu hizo mashine zilikwama vipi? Hiyo nyumba ilikuwaje to the extent bulldozer ishindwe kufanya kazi yake?

Ndiyo maana mwisho nikakwambia hizo ni stori za kuhalalisha stori yako.
Mimi nilizungumzia hallucinations ILA wewe ni stori za kufikirika na jamaa niliye mquote nilimpa na mifano kadhaa hata mimi ishawahi nitokea na rafiki wa karibu aliyepoteza mzazi wake.

Kafatilie tena nilichoandika mkuu
 
nmekwambia mafanikio yana siri nyingi moja wapo ni hiyo unayosema sema wewe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ulisema hivi mafanikio yana miiko yake na njia zake, hukusema mafanikio yana siri nyingi.

Mimi nimesema tupe mfano wa mtu aliyefanikiwa kwa uchawi bado hujanipatia jibu mkuu mpaka sasa.
Napenda kujifunza zaidi nijue.
 
haswa!!!

Je Hili lina justify kwamba waliofanikiwa zaidi ni kutokana na hizo stori za kufikirika za kichawi?
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.
 
Hivi wataalam Mshana Jr KWANZA, kwanini kuna watu wengine wanakutana na kuona matukio ya kichawi au viumbe vya kiroho na wengine hawavioni maisha yao yote.
Kuna Sayansi gani hapo?

Kuna concept nilisoma kwamba hivi vitu lazima uvialike kwenye maisha yako(kwa mfano kwenda kwa mganga au kufanyiwa dawa zq wale maustadh wa dawa) , au mtu mwenye mamlaka na wewe avi introduce kwenye maisha yako(kama mzazi kumchanja chale au kumfanyia mtoto wake dawa alipokuwa mdogo au kumpeleka kwa mganga na kwenye matambiko, au mke kukufanyia dawa)
JE HII CONCEPT INA UKWELI WOWOTE?
 
Point yangu ni kwamba kufanikiwa ni zaidi ya kufuata kanuni kama ingekuwa mafanikio ni kufuata kanuni tu basi tungekuwa na mafanikio wengi zaidi, hivyo tuanzie hapo kwanza kuwa kwenye kufanikiwa kuna zaidi ya kufuata kanuni na juhudi.

Siwezi go in deep sababu sijafika hizo level in a nutshell mafanikio inahitaji jitihada kubwa ambapo wengi we are not ready for commitment and consistency.
Kufanikiwa ni kufata kanuni sababu kila mtu aliyefanikiwa alifanya KAZI na hiyo ndio basic foundation ya mafanikio.

Nilicho argue ni mtu anasema kufanikiwa ni uchawi ambapo naelewa uchawi ni vitu vya miujiza ya kufikirika tu ambavyo havina uhalisia
Ndo nilihitaji reference ya mtu aliyefanikiwa kwa namna hiyo ambaye hafanyi kazi na amefanikiwa.

Ukishafanya KAZI na una biashara hiyo tunaweza kuielezea katika kanuni za uchumi.
Labda mkuu nisaidie nani aliyefanikiwa kwa uchawi unayemfahamu?
 
Mabati yana kawaida ya kujikunja na kujikunjua kutokana na hali ya hewa joto au baridi... Ni kawaida kusikia sauti.

Then milango yetu hii ya kuunga unga hasa mageti vitasa vyake kujifunga ni kawaida sana ukibamiza...

Tena kama we ulitoka kasi ukauacha ujipige.. hakuna uchawi hapo.

Tufanye kazi
🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee 🙌🙌🙌
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
Wana CCM aisee. Kwa mitazamo na akili zile halafu na bado wanaongoza nchi na kutusua kimaisha???? Aisee uchawi upo!
 
Back
Top Bottom