Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Una kinga kubwa kiroho aisee huyo hakuwa mtu bali roho baya lililotumwa kukuziba njia ili ugongwe na gari ufe malengo ya mbaya wako yatimie afurahi kuwa kakuweza
kumbe yule jamaa wa siku ile ulikua ni wewe..... daah aisee nliona ile cruiser ilivopita kama upepo nkajua tushakupoteza

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chai
 
chai
 
mimi niliona uchawi upo shule.. kulikua na mchupi mkubwa sana unaanikwa ijumaa kila tukitegea tuone anaeuanua tunamkosa

Siku moja bweni zima la SAMORA MACHEL tukasema hatulali mpaka tumuone anaeanua
Hauwezi amini sote tulipigwa na usingizi mzito wa pono
Mpaka namaliza shule pale Ile chup hatukujua ya nani
Ukiitazama sana mwili unasisimka
SIJUI LILIKUA CHUPI LA JINI SIZE YENYEWE TU HAIKUA YA KIBINADAM
 
chai
 
Shuk

Mkuu ulikuwa singe secondary?
 
Nyingine
Ilikuwa mwaka 2011 sehemu inaitwa Kihanda tulikuwa Camp......kila jioni tulienda kijijini kunywa komoni.
Sasa jioni moja tukakuta ugomvi ng'ombe zimekula mahindi....na mwenye ng"ombe kwa. Sababu ana uwezo kiuchumi akawatuliza viongozi na mwenye shamba hakulipwa kitu.
Kwa kifupi......kesho yake ngombe wote walipigwa na radi.
 
Aisee, ulikuwa target. Ulimwengu wa roho upo, inategemea unachagua roho gani, roho mtakatifu tupo kutulinda.
 
Story ya miss corridor ndo naisikis leo mtu mwingine anaisimulia. Back in o level days nilikutana na tukio kama hilo, kulikuwa na sauti very specific ya mtu anatembea na high heels kuja uelekeo ya chumba nilichokuwa, nimekomaa zangu kusoma wakati tunaenddela na mitihani ya taifa, alipokaribia usawa wa chumba changu hofu ilishanishika nikakimbilia kitandani, vuta shuka na kuziba masikio na kufumba macho, nilikuwa nasikilizia mapigo ya moyo wangu yakienda mbio, na usingizi ukanishika moja kwa moja shortly, sikuwahi kuielewa hiyo hali mpaka leo, na sikumsimulia mtu, nashangaa kumbe kuna hadi term wanaita miss corridor, ila shetani , asante Yesu kwa ulinzi. That was very real, ilianza ghafla kwa mtu kufungua na kufunga mlango wa nje (ulikuwa unafungwa always, na giza likiingia wadada wa bweni wanabana kwa kufuli yaani tunafungiwa ndani) na movement ikawa specific inakuja straight nilipokuwa, akifuata corridor la bweni chumba chetu kilikuwa mwisho kabisa, partition za vyumba hazikuwa na milango so ningekomaa ningeona kwa macho who or what was walking namna ile, sidhani kama ningebaki timamu I swear. Na ilishakuwa usiku wa manane yapata saa nane au tisa unajua ile mnasoma unamwambia rafiki yako akuamshe anapolala nawe unaamka unaendelea na kitabu. Kilichonivuta attention ni kwanza ile high heels, hakuna mtu anaamka usiku avae high heels, hivyo viatu vilikuwa haviachwi kwenye corridor, ila kulikuwa na ndala nyingi sana unaweza kuvaa za yeyote mnayeshare chumba, na pili hakukuwa na sababu ya mtu kuja chumba chetu maana sisi form 4 tulishare room moja, na madogo wote walikuwa wanalala mapema kabisa, vyoo vililikuwa nje na watu walitoka kwa kusindikizana wanaoshare chumba that time hakuna mtu alikuwa ametoka , na tatu, muda uliotumika kufunga na kufungua mlango ulikuwa just a matter of seconds mind you tayari ile milango imefungwa kufuli ile milango mipana ya vipande viwili, mauza uza yalikuwa mengi sana, it was far from normal.
 
Uta ambiwa ulikua mgojwa ngoja waje wanasayansi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…