Hili ni fundisho kwenu kwamba mtu akikueleza matatizo yake uache kujifanya MWANASAYANSI, na badala yake umsikilize kwa MAKINI na umpe msaasa STAHIKI.
Kwani maneno yote tunayotumia humu tumetoa tafsiri zake kwenye kamusi? Unataka kuniambia jinsi ulivyoeleza wewe uchawi umetoa kwenye kamusi? Mimi nimeeleza uchawi kwa jinsi navyojua unavyofanyika.
Kamusi niliyo nayo hapa inaeleza hivi kuhusu uchawi:ni ufundi wa kutumia dawa mitishamba au vitabu maalumu vya uganga ili kuleta madhara kwa viumbe.
Sasa kutoka kwenye hiyo mifano yako ndio unataka kuhitimisha kwamba wasiofanikiwa ni kwa sababu hawajinyimi na hutumia hovyo pesa zao? Na kumbuka sio kila mafanikio yanahusu mali kwamba upate pesa.
12 years agoMwaka gani hii
😂😂😂🙌🙌🙌
Mtu anakwambia kabisa kuwa huko wenzetu waliwauwa wachawi hivyo kiasi kikubwa wakatokomeza uchawi na kukaja kuzaliwa kizazi ambacho hakijihusishi sana na uchawi, sasa hapo wanataka tuone et wazungu hawaamini uchawi kwa sababu tu wana elimu. Watu wanarogana na kutibiana afrika halafu mtu anakuja anataka uwe na mitazamo kama ya wazungu na kupinga tu hakuna uchawi kisa wazungu hawaamini uchawi.kwani sayansi yenyewe imetoka wapi, si wa wazungu, huyo jamaa anabishia asili
Duuh samora yetu mkuu12 years ago
Mkuu naomba nikuambie kituNaomba unipe reference ya kamusi gani inayoelezea hiyo maana ya uchawi?
Mimi nimejaribu ku compare watu wawili ambao wanakwenda wote kazini, wanalipwa Sawa na bado kuna mmoja anamzidi mwenzake.
Mmoja yupo radhi kumaliza mshahara wake kwenye pombe ILA mwingine yupo radhi ajibane akanunue kitu kitachomazilishia zaidi.
Naomba nipe maana ya uchawi uliyoitoa hapo umeipata KWenye kamusi ipi?
Shule za kusomea ujinga hizo.Yaani waafrika mkisoma ndio mnakua wajinga zaidi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Don't Watch Sacred Riana If You're Scared Of The Dark - America's Got Talent 2018 / America's Got TalentMtu anakwambia kabisa kuwa huko wenzetu waliwauwa wachawi hivyo kiasi kikubwa wakatokomeza uchawi na kukaja kuzaliwa kizazi ambacho hakijihusishi sana na uchawi, sasa hapo wanataka tuone et wazungu hawaamini uchawi kwa sababu tu wana elimu. Watu wanarogana na kutibiana afrika halafu mtu anakuja anataka uwe na mitazamo kama ya wazungu na kupinga tu hakuna uchawi kisa wazungu hawaamini uchawi.
Nionyeshe niliposema wazungu hawaamini uchawi?Mkuu naomba nikuambie kitu
Kwangu uchawi naweza kukuambia ni miujiza/magic/maajabu/mazingaombwe yani sioni neno linalofit
Alafu niliona kama umesema wazungu hawaamini uchawi ushawahi kuangalia American Got talent?? Mtafute mdada anaitwa Riana
Kingine inawezekana cicre yako pia au hujatembea...
Tuliosoma shule za bweni wengi Tushaona/Kusikia vitu vingi vya kutisha miss corridor,Mtu mrefu ambae mwisho humuoni,Vimbilikimo... binafsi sitapenda kuviongelea kwa upande wangu maana hata nikikuambia hutaamini na najua hutaamini kwasababu haukuona wewe
Hawa wanaojiita wanasayansi waliosoma haya mashule ya kata ya KIKWETE ni watu WAJINGA kuliko mtu yeyote.
Acha uchawi dogo, siku zenu zimefika mwisho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah kmk, si mmelala, Sasa usingizi ni uchawi jamani..story zingine bana
Ni Kamusi ya kiswahili sanifu ya 1981, Isbn 0195723694.Mkuu kamusi zote zipo kwenye mitandao naomba unipatie hiyo kamusi ni chapisho gani na mwaka gani?
mimi nimeeeezea sababu kwa kutumia majirani zangu POLISi wawili embu tuelezee wewe hiyo maana YAKO ya uchawi uliyoandika hapo na kufanikiwa KWA mtu?
Watakwambia hiyo kama movie tu zinatengenezwa.Don't Watch Sacred Riana If You're Scared Of The Dark - America's Got Talent 2018 / America's Got Talent
View attachment 2707110
Ni wapi nimesema nimekuelewa??Nionyeshe niliposema wazungu hawaamini uchawi?
Nimesoma boarding na hiyo stori ya miss corridor nimeandika post za juu huko nikimjibu jamaa kuhusu hallucinations.
Ndio maana nasema uchawi ni stori za kufikirika hazina uthibitisho.
Asante kwa kunielewa.
Binafsi siwakatalii...Kuna vitu kama hujavishuhudia ni vigumu kuaminiWatakwambia hiyo kama movie tu zinatengenezwa.
Ni Kamusi ya kiswahili sanifu ya 1981, Isbn 0195723694.
Nimekuuliza maswali haujajibu.