Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Mazingaombwe yapo na tunayaona watu tunalipa mia 5 ,wanatuonyesha... Naomba mwenye uelewa kuhusu science aniambie mazingaombwe ni nini...
 
Sihitaji kujua ya mkononi inavyofanya kazi hadi naweza kufanya mawasiliano na mtu ila najua kwamba naweza kuwasiliana na mtu kutoka nchi nyengine kupitia hii simu.
Si Sayansi hiyo..Tena ya mzungu...wakati waafrika tunalogana wenzetu wanatengeneza satellite juu ya dunia na kupeleka watu mwezini. Afu mnategemea tuwe sawa
 
Messi na Ronaldo tunawaona ila hadi leo watu wanabishana nani ni zaidi kati ya hao wachezaji wawili.
 
Mazingaombwe yapo na tunayaona watu tunalipa mia 5 ,wanatuonyesha... Naomba mwenye uelewa kuhusu science aniambie mazingaombwe ni nini...
Ni magic tricks...hata wazungu wanazo..na ukifundishwa hata we unafanya. Ukitaka google hicho ulichoona watakuelezea mpaka video wanavyofanya behind the scene
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa so umekubali kwamba uchawi ni Sayansi ambayo hujaielewa, ukielewa sio uchawi Tena?
 
Niambie Mazingaombwe ni science au sio science...Na kama hujawahi kuona mazingaombwe nikutumie sasa hivi...Au ingia unitalent ya mwaka huu yule mwamba aliyejikata ulimi...Vipi science gani imetumika pale?
 
🤣🤣🤣Sasa mimea si science.... biology na chemistry inatumika hapo..sio kwamba wanasayansi hawajui wanajua inatiba Ila hawapendekezi kutokana na sababu fulani za kiafya...mbona unaelewa huelewi. Mimea si ipo jamani. Kwani unadhani dawa zinatengenezwa na Nini si substitute za chemicals ambazo zipo kwenye mimea. Hebu soma bac shule Rudi sekondari udai ada
 
Niambie Mazingaombwe ni science au sio science...Na kama hujawahi kuona mazingaombwe nikutumie sasa hivi...Au ingia unitalent ya mwaka huu yule mwamba aliyejikata ulimi...Vipi science gani imetumika pale?
🤣Mfate muulize...Sasa. mi sio mtu wa mazingaombwe. Ile ni kazi Kama kazi nyingine na wanajua Hilo...au unadhani majaji pale Wanaona yule jamaa ni mchawi, si wangemkimbia, si wangemuogopa. Ile ni talent na hata we unaweza jifunza..ni tricks tu na kucheza na saikolojia ya watazamaji.
 
🤣Anajing'ata tu mda wote hata haendi popote
 

sasa hizo bado zinabaki ni stori na kuamini hakuna shida.
Ukitaka uaminike ni uthibitishe.
Nilijua unayo hoja tuzungumzie kumbe ni na wewe unasikia sikia tu stori Sawa.
 
🤣🤣Why....mi sijaelewa...soma post yangu ya dragon ndo utaelewa nasema huu ni ujinga. Coz in this sense mi naweza sema Nina dragon chumbani haonekani na hashkiki na huwezi kuhisi joto lake na hatemi moto...🤣Kuna tofauti gani ya huyo dragon kuwepo au kutokuwepo. Ndo uchawi Sasa ..umeupa position ambao huwezi kuthibitishwa in any way...ndo maana nasema ni uwongo tu..ni sawa na hamna kitu.
 
I'm out siku utayopata hiyo connection ya uchawi na kufanikiwa KWA mtu niletee na nitakuwa tayari kukuamini.

Itoshe sema wewe ni mjinga zingatia ujinga si tusi.
 
Wanajua kwa kufanya utafiti wa kisayansi au wanajua kwa kuona tu watu wakitumia? Hata dawa za kutengenezwa maabara zina side effect pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…