passion_Amo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2023
- 378
- 542
Nyie ndio hamuelewagi
sawa dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio hamuelewagi
Shida yao hawa watu wa sayansi wanataka kutuambia kuwa hapa duniani hakuna mapepo,kila kitu watakujibu kisayansi kwaoMkuu hii kitu kwako haifit entoptic phenomena ILA hii ni hallucinations.
Mfano kusikia sauti ya mtu analia au anaongea lakini hakuna mtu huyo.
Au kuona mtu au vitu ambavyo hakuna mtu mwingine anayeviona kama vile kuona mtu amesimama karibu nawe lakini kiuhalisia hakuna huyo mtum
Hallucinations huwa inasababishwa na vtu vingi mojawapo ni magonjwa ya akili
Ila entoptic phenomena huwa inasababishwa na muundo wa ndani wa jicho lako.
Wana jiitaga wana sayansi achana naye Mkuu, kama wanaamini kuna Mungu basi waamini mapepo yapo vilevileKilitoweka mbele yangu, hakikuwepo tena
Tunatofautiana mitazamo mkuu. Kila mmoja yupo jinsi alivyo, kutokana na mambo aliyopitia.Wana jiitaga wana sayansi achana naye Mkuu, kama wanaamini kuna Mungu basi waamini mapepo yapo vilevile
Duh..Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
harafu mtu anasema kiama hakipo. sasa huyo dogo hii dhulma atalipwaje ? tumche Mungu sana .2017
Nimetoka hasubuhi naelekea miangaiko k/koo njiani kuelekea kituoni kupanda gari, nasimamishwa na dogo mmoja ambaye najuana naye palipokuwa mtaani tulipokuwa tunaishi
Dogo akaanza kunilalamikia kuhusu dogo mwenzake ambaye aliweka nae share kwenye biashara fulani, na biashara ilikubali sanaa , hiyo biashara waliyokuwa wanafanya.. walikuwa wanatoa matunda baadhi ya vijiji vilivyokuwepo karibu na dar na kuya supply katika supermarkt walisajili kabsa kampuni yao, aisee walikuwa wanakimbiza hatari
Dogo akawa ananiomba nikaongee na huyo mwenzake ambaye wameshare biashara, malalamiko yake kuwa huyo jamaa anamroga Kwa kigezo cha kutaka kumdhurumu pesa na biashara kiujumla, nikamuhoji sanaa dogo licha yakuwa nilikuwa nachelewa miangaiko,nilimuhoji kuwa kajuaje kama anarogwa akanielezea kuwa mama yake ana ostaz wake kuwa kila mwezi anakuja kumuombea dua mama yake na nyumba yao kiujumla kuwa yeye ndio kawaambia, nikamuuliza umechukua hatua zozote
Akanambia kuwa mama yake alijaribu kumtafuta jamaa akakataa kwenda, wakaamua kumpigia sim na kumwambia akakataa kuwa hafanyi hivyo
Akanambia ameona kuwa mimi vijana wengi wananiheshimu na kunifata kwa ushauri na nimewazidi kidogo tu umri ingekuwa rahisi kuyamaliza matatizo yao
Nikamuuliza kuwa yeye anatakaje, akasema anataka kama apewe share yake na amuache aendelee na biashara, kwa maelezo yake dogo walikuwa na kama m12 kwenye account yao ya biashara
Kiukweli nilijaribu kumtafuta yule dogo mwenzake na alikataa kuwa hajaweka share na mwenzake huyo aliyokuja kuniomba nikaongee naye, nikamtafuta dogo na kumuelezea alibaki kulia tu na kunambia bro jamaa ataniua
Sasa ni 2023, roho inaniuma sanaa nilipata kwenda hapo mtaani mwanzoni wa mwaka huu, nimemkuta yule dogo aliyekuja kunilalamikia kuwa anarogwa ni chiz kabsa wallah nililia machozi kama mtoto mdogo nilihisi nna tuhuma Kwa Mwenyezi Mungu
Kibaya zaidi kanikumbuka na akiwa akinikuta njian ananisimamisha tunaongea vizur tu na tukimaliza maongezi ananiomba pesa, huwa nampa niliyokuwa nayo
Hakika Mungu atatulipa kwa chochote tutachowafanyie wengine
Mzimu (ghost)Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Duh huyo mwizi lazima aweweseke usiku mzima.Mzimu (ghost)
Jaribu kula balanced diet, unatatizo kwenye hormone balance, Ubongo, mentally unfit, pale Ubongo wako ulikuwa unatafisiria vitu ambavyo havipoKuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).
Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.
Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Sawa mkuu 👊Jaribu kula balanced diet, unatatizo kwenye hormone balance, Ubongo, mentally unfit, pale Ubongo wako ulikuwa unatafisiria vitu ambavyo havipo
Mie na download sana video. Naona zinakubaliDuh huyo mwizi lazima aweweseke usiku mzima.
Nimejaribu kudownload hii attachment, ila sijaona option ya kufanya hivyo. JF web haisupport kudownload video?
Mabati yana kawaida ya kujikunja na kujikunjua kutokana na hali ya hewa joto au baridi... Ni kawaida kusikia sauti.Kuna Siku nililala ndani peke yangu, muda wa saa moja asubuhi najiandaa kuamka nikasikia kishindo juu ya bati kama mtu karusha bonge la jiwe . Nikaamka haraka haraka kwenda kuchungulia nje ni nani karusha hilo jiwe. Kwa bahati mbaya sijamkuta mtu. Nikazunguka nje nyumba nzima kulitafuta lilipodondokea sikuliona nikaangaza juu ya bati sikuliona. Nikaamua nirudi ndani kuendelea na ratiba zingine nakuta mlango umefungwa ndani kwa komeo. Nikaita nikidhani kuna mtu nilipishana naye kipindi nazunguka nyumba yeye kaingia ikawa kimya. Nikahisi jambo lisilo la kawaida ikabidi nitafute fundi tukafanikiwa kubomoa mlango. Tumekagua vyumba vyote hatukuona mtu.
Unatumia App au web?Mie na download sana video. Naona zinakubali
Al kaaba...Uchawi upo ndugu zangu.
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.
mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.
Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.