Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

That's not manticized in such way. Maskini sio wajinga. Uchawi unaendana na husda yan wivu wa kimaisha na kupinga maendeleo. Class la matajiri hawana muda wa kukuonea husda sabb Wana vyao. Wew ukitaka kujua upo au haupo.... Kaishi MTWARA NA WAMAKONDE
😂😂😂 Umeona sasa..so uchawi unachagua maeneo au sio...maeneo yenye watu duni wasio na elimu..niende makonde nikaone...😂😂afu ni uwongo matajiri Wanaoneana wivu, unadhani mo na bahresa hawashindani, mondi na konde, musk na Zuckerberg, ila wanashindana kutumia akili na biashara...😂😂huko kijijini kwenu mnashindana nani anayeamini ujinga Zaidi...😂😂 hamuwezi endelea siku zote...
 
😂😂😂Hujui Sayansi ni nini ndo maana. Sayansi sio sindano..Sayansi ni kuelewa the natural world. Mfano ng'ombe sio uchawi, Ila ng'ombe akipaa ndo tunasema uchawi. Same as tiba. Tiba asilia ni natural medicine, ni Sayansi pia coz unatumia natural understanding kutatua tatizo that's science. Sayansi haiishi kwa doctor engineer sijui mwalimu wa la Saba. No we hujui what's science..so usiseme najificha... nakuambia ukweli.
 
Sasa kama uchawi ungekuwa ni si kweli basi Ulaya wangeacha tu elimu iwafanye watu waache wenyewe uchawi maana hauna athari kweli.
😂😂😂😂Nimekuambiaje hata bongo Kuna mashoga wengi tu lakini mtandaoni mkiona post za mashoga comments nyingi ni negative..maana yake jamii haikubali mashoga. Same as ulaya. Wanaoamini uchawi ni minority Kama mashoga huku ..Ila huku wanaamini uchawi ni majority(wengi)
 
😂😂😂😂Shamba gani haliwezi kuibiwa...😂yaani so far mtaleta tu story story bac
Hivi vitu mbona hatuvioni in mainstream media...😂au serikali inaficha...hivi uchawi ungekuwa sooo real si tungeuona, tungeona kwenye taarifa za habari...Ila zinaishia mtaani tu kwenye vijiwe vya pombe ..😂😂ukija na evidence ya uchawi niite
 
🤣🤣🤣🤣Umeona na wewe..nijibu bac why unasema nimezaliwa mjini nimekulia mjini...unajuaje .if ni kwa sababu siamini uchawi...then is it true uchawi unachagua wajinga na maskini wa kijijini au ni story tu za kutungwa au hallucinations za hao watu wa kijijini duni na wasio na elimu
 
Hii sure mkuu nimesoma mbuyuni wakati Konoike wanajenga barabara miaka ya 90+ Wajapani walishindwa kuukata huo mbuyu na palikua na ajali balaa.
🤣🤣🤣🤣🤣watu ni wajinga kichizi....ule mti ni unene...of course kuukata will need much...kapige bomu pale Kama haukatiki...vitu vingine mnaongea kujifurahisha ujinga tu
 
😂😂😂Sawa naomba unitumie research Yake hapa wote tuisome... until then ni story za mtaani tu
We jamaa una Hoja Gani mbona sijakuelewa vzuri? Uchawi haupo unaweza kuthibitisha kama haupo?
 
🤣🤣🤣So mi nikichechemea nimeanguka kwenye ungo...Ila wabongo mna nuksi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…