SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂Nikiwa kazini ndo nitaona wachawi auSijui jamaa halina kazi hili? [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Nikiwa kazini ndo nitaona wachawi auSijui jamaa halina kazi hili? [emoji23][emoji23]
😂😂😂 Umeona sasa..so uchawi unachagua maeneo au sio...maeneo yenye watu duni wasio na elimu..niende makonde nikaone...😂😂afu ni uwongo matajiri Wanaoneana wivu, unadhani mo na bahresa hawashindani, mondi na konde, musk na Zuckerberg, ila wanashindana kutumia akili na biashara...😂😂huko kijijini kwenu mnashindana nani anayeamini ujinga Zaidi...😂😂 hamuwezi endelea siku zote...That's not manticized in such way. Maskini sio wajinga. Uchawi unaendana na husda yan wivu wa kimaisha na kupinga maendeleo. Class la matajiri hawana muda wa kukuonea husda sabb Wana vyao. Wew ukitaka kujua upo au haupo.... Kaishi MTWARA NA WAMAKONDE
😂😂😂Hujui Sayansi ni nini ndo maana. Sayansi sio sindano..Sayansi ni kuelewa the natural world. Mfano ng'ombe sio uchawi, Ila ng'ombe akipaa ndo tunasema uchawi. Same as tiba. Tiba asilia ni natural medicine, ni Sayansi pia coz unatumia natural understanding kutatua tatizo that's science. Sayansi haiishi kwa doctor engineer sijui mwalimu wa la Saba. No we hujui what's science..so usiseme najificha... nakuambia ukweli.Ni ujinga tu yani mtu ana misimamo yake anaihusisha au kujifichia kwenye sayansi, yani mtu haamini Mungu au uchawi basi atasema kwa sababu ya sayansi kana kwamba watu wote wasioamini Mungu au uchawi wana uelewa na sayansi, kwao wamefanya kutoanini uchawi kuna mahusiano ya moja kwa na kuwa na elimu. Haya mambo ya kujifichia kwenye sayansi hayapo huku tu hadi kwenye masuala ya tiba,madawa na maradhi kuna mauongo mengi yamehusishwa usishwa na sayansi.
😂😂😂😂Nimekuambiaje hata bongo Kuna mashoga wengi tu lakini mtandaoni mkiona post za mashoga comments nyingi ni negative..maana yake jamii haikubali mashoga. Same as ulaya. Wanaoamini uchawi ni minority Kama mashoga huku ..Ila huku wanaamini uchawi ni majority(wengi)Sasa kama uchawi ungekuwa ni si kweli basi Ulaya wangeacha tu elimu iwafanye watu waache wenyewe uchawi maana hauna athari kweli.
😂😂😂😂Shamba gani haliwezi kuibiwa...😂yaani so far mtaleta tu story story bacS
Nilishakuuliza kama ulishawahi kwenda kwa mganga, ukajibu Ufuate nini! Sasa kama unashindwa hata kusimamia kauli zako, tutakusaidiaje?
Sayansi inaishia kwenye Laws na Principles za kina Newtons na wenzake... Sayansi inaishia kwenye Modernized Laboratories na findings zake. Na kila kisichoeleweka au kuitikia hizo Laws and Principles za wa kina Newtons huitwa Uchawi.
Mfano: Ni namna zindiko la Shamba linavyoweza kuzuia wezi, hakuna maabara itakayoweza nini hufanyika, mwishoe huangukia denial kama yako kuwa ni uongo.
😂Dar na makonde wapi pameendelea...ao wachawi si wangeinua maghorofa kimiujiza na huko....😂🤣au mganga hatajiriki..Ni msongamano wa magari barabarani nadhani na magorofa.
🤣🤣🤣🤣Umeona na wewe..nijibu bac why unasema nimezaliwa mjini nimekulia mjini...unajuaje .if ni kwa sababu siamini uchawi...then is it true uchawi unachagua wajinga na maskini wa kijijini au ni story tu za kutungwa au hallucinations za hao watu wa kijijini duni na wasio na elimuJamani kama huamini uchawi upo embu tulia basi usiharibu uzi.Kutwa kushupalia kila story ya kila mtu alf mtu mwenyew unakuta kazaliwa mjini na kakulia mjini ila unavyokomaza shingo utadhani unajua kila kitu.Huamini tulia hulazimishwi acha watu waandike story zao mnaharibu uzi!
🤣Matusi ya Nini...Huyo jamaa ni mpumbavu
Mungu pia ni imagination?it shows clearly haupo ni imagination
🤣🤣🤣🤣🤣watu ni wajinga kichizi....ule mti ni unene...of course kuukata will need much...kapige bomu pale Kama haukatiki...vitu vingine mnaongea kujifurahisha ujinga tuHii sure mkuu nimesoma mbuyuni wakati Konoike wanajenga barabara miaka ya 90+ Wajapani walishindwa kuukata huo mbuyu na palikua na ajali balaa.
Tutumie research yake ..research si zipo mtandaoni...au na wewe umeskia storyItembelee udsm utaoneshwa. Nenda Kule social science /coss ukutanishwe nae.
Mungu pia wanaosema yupo wana maluweluwe?hallucinations za hao watu wa kijijini duni na wasio na elimu
😂😂😂Sawa naomba unitumie research Yake hapa wote tuisome... until then ni story za mtaani tu
We jamaa una Hoja Gani mbona sijakuelewa vzuri? Uchawi haupo unaweza kuthibitisha kama haupo?😂😂😂😂😂Acha kurudi nyuma...hata wewe ulikuwa hujui mvua inasababishwaje, hujui dunia inazunguka jua, hujui radi inasababishwaje, so for a tym ulijua ni miujiza, Mungu au wachawi ila now si una elimu...Sasa mi nimeongolea mwaka 1200 au 2023...😂Acha kujikosha bac
😂Mbona unakimbia mkuuAchana na habari za video. Uchawi hakuna. Thibitisha kama wewe passion amo
Mungu yupo au hayupo? Jibu swalivitu vingine mnaongea kujifurahisha ujinga tu
Ukiipata research hata Moja ya mzee mmoja anaitwa Mutebi mwalim udsm huko mtandaoni nakulipa laki Moja Kila mojaTutumie research yake ..research si zipo mtandaoni...au na wewe umeskia story
🤣🤣🤣So mi nikichechemea nimeanguka kwenye ungo...Ila wabongo mna nuksi sanaAchana na habari za lekcha. Wewe umeambiwa nenda kamtafute Kwa faida yako sio mm Wala mtu mwingine. Ukweli ni swala la kukubaliana mana hata Leo ukiambiwa bara la Asia halipo utabisha sababu ulishakubali kuwa lipo.
Sion haja ya kuendeleza mjadala ambao hautabadilisha kitu. Uchawi hakuna ila ukitaka kumuona huyo lekcha nenda udsm mana wote wanamjua na anatembea Kwa kuchechemea mana aliumia.
Thibitisha hapa kama wewe ni passion amo! Ili nione urahis wa uthibitishaji
Mboni unakimbia kujibu maswali yangu? Unaogopa spana?Mbona unakimbia mkuu
Anajifanya haoniNitag alikujib
Hoja yako hasa ni ipi?🤣🤣🤣So mi nikichechemea nimeanguka kwenye ungo...Ila wabongo mna nuksi sana