Jinns kuanza Arabia ndio nini? Kwamba waarabu ndio wameleta imani uwepo hao viumbe majimi kabla ya jamii zengine? Au kwamba kuna jamii hazina imani ya hao viumbe majini?Jinns wameanza Arabia...na translation yake ni majini...🤣🤣🤣Sasa Kama Hilo unabisha soma Quran yako...
😂😂😂 Umesomea upishi au
Sambaiga Richard bi mwalim wangu. Kanifundisha Anthropology Yani At 110 mwaka wa pili.Unafahamu UDSM ina data base ya proffesor wote waliopitia?
Una hakika yupo huyo mtu unayemtaja?
Nenda gugo mtafute dr richard sambaiga mtafute prof. Christine noe palanjo
Hilo jina halijawahi exist UDSM
Thibitisha lecture alianguka?
Sambaiga Richard bi mwalim wangu. Kanifundisha Anthropology Yani At 110 mwaka wa pili.
We jamaa nimekwambia unagugo. Embu gugo jina la Mutebi kama utalipata. Alafu gugo na jina la Harun mana hao mpaka Leo ni walimu hapo. Na ukitaka msaada wa kitafiti nitakuunga na MukonoUnafahamu UDSM ina data base ya proffesor wote waliopitia?
Una hakika yupo huyo mtu unayemtaja?
Nenda gugo mtafute dr richard sambaiga mtafute prof. Christine noe palanjo
Hilo jina halijawahi exist UDSM
Thibitisha lecture alianguka?
We jamaa nimekwambia unagugo. Embu gugo jina la Mutebi kama utalipata. Alafu gugo na jina la Harun mana hao mpaka Leo ni walimu hapo. Na ukitaka msaada wa kitafiti nitakuunga na Mukono
Mwambiele Kitunya
Nimekuuliza inayokosea ni sayansi au watu(wana sayansi)? Watu ndio hukosea na si sayansi, yenyewe sayansi ina misingi yake ipo hivyo na ndio maana unakuta kuna mambo kwenye sayansi wanasayansi hutofautiana.🤣🤣🤣Sayansi ikikosea inabadilika...we unataka Kama Babu yako alikuwa mjinga na we uwe mjinga eti kisa utamaduni...ndo maana Africa hatuendelei..
Hao ndio wachawi wenyewe! Wameharibu uzi wa watu kwa kuleta ujuaji! Very patheticTutaje watu wabishi/wapinga uchawi kwenye uzi huu, mie naanza na____@SimbaMpole123
Nenda kagoogle kuhusu Clairvoyance usikariri tu hiyo hallucinations, kukariri hakukufanyi uonekane msomi bali kuongeza maarifa.Sawa si tunasema umeona hallucinations.. until u probe uchawi ni real tunakusubiria
😂😂😂😂Jamani elewa jinns ni from ancient Arabia... Muhammad kuleta dini yake na yeye kawatia humo humo...jamii zingine inaamini supernatural things lakini hawaitwi majini. Ukitaka kujua jinns ni Nini angalia AlladinJinns kuanza Arabia ndio nini? Kwamba waarabu ndio wameleta imani uwepo hao viumbe majimi kabla ya jamii zengine? Au kwamba kuna jamii hazina imani ya hao viumbe majini?
😂Bac sawa...ur point is? Uchawi vipi Sasa?Nimekuuliza inayokosea ni sayansi au watu(wana sayansi)? Watu ndio hukosea na si sayansi, yenyewe sayansi ina misingi yake ipo hivyo na ndio maana unakuta kuna mambo kwenye sayansi wanasayansi hutofautiana.
Kwa hio wewe unasema hakuna Mungu?Ndio
😂😂😂We Kama hoja unayo tupe tukuaminiHao ndio wachawi wenyewe! Wameharibu uzi wa watu kwa kuleta ujuaji! Very pathetic
😂Nijibu swali uchawi unachagua maskini na wajinga? Kuna umri na sehemu ya kuona wachawi? Mbona hatubishani kama jua lipo? Ukisema ulimwengu wa roho, Kuna tofauti gani ya ulimwengu wa roho na kitu kuwa Cha kutungwa au hakipo?Nenda kagoogle kuhusu Clairvoyance usikariri tu hiyo hallucinations, kukariri hakukufanyi uonekane msomi bali kuongeza maarifa.
Wewe hakuna kitu kichwa chako bado kitupu, unafanya reference ya MovieUkitaka kujua jinns ni Nini angalia Alladin
Hujui unachobisha yaan hujielewi unabisha niniUkisema ulimwengu wa roho, Kuna tofauti gani ya ulimwengu wa roho na kitu kuwa Cha kutungwa au hakipo?
Uchawi unajua umetoka wapi au chanzo chake nini? Ndio maana nakwambia wewe unasema hakuna Mungu huwezi ukazungumzia kuhusu uchawi sababu haujui kituYes...Ila huu Uzi unahusu uchawi so rejea mada husika
Usiniletee references za movies😂Disney si wajinga... wametengeneza movie kutokana na Imani ya jinns ambayo ipo in the Arab world...😂ni kama little mermaid. Imani ya kuamini mermaids zipo ndo maana movie inatengenezwa...😂Kama vampire diaries etc
Tulia tujadili taratibu wala usiwe na mchecheto, suala la matapeli wapo hadi matabibu matapeli na madaktari feki. Wewe binafsi umewahi kusoma kuhusiana na Psychic reading?😂😂😂😂Psychic reading ishakuwa debunked na Wanasayansi kibao...yaani ni kama wale wezi wanaokuambia sijui dada Ako anaumwa cjui bibi yako kafa..afu unaona kweli jamaa anasoma akili..😂💔kumbe ni utapeli kabisa.. 😂😂💔yaani upo serious unasema psychic reading ni uchawi...😂😂😂Bac we inaonekana hujawahi kukutana na watapeli wa dar ..💔😂umejiaibisha kinoma