Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Jinns wameanza Arabia...na translation yake ni majini...🤣🤣🤣Sasa Kama Hilo unabisha soma Quran yako...
Jinns kuanza Arabia ndio nini? Kwamba waarabu ndio wameleta imani uwepo hao viumbe majimi kabla ya jamii zengine? Au kwamba kuna jamii hazina imani ya hao viumbe majini?
 
Unafahamu UDSM ina data base ya proffesor wote waliopitia?
Una hakika yupo huyo mtu unayemtaja?

Nenda gugo mtafute dr richard sambaiga mtafute prof. Christine noe palanjo

Hilo jina halijawahi exist UDSM

Thibitisha lecture alianguka?
Sambaiga Richard bi mwalim wangu. Kanifundisha Anthropology Yani At 110 mwaka wa pili.
 
Unafahamu UDSM ina data base ya proffesor wote waliopitia?
Una hakika yupo huyo mtu unayemtaja?

Nenda gugo mtafute dr richard sambaiga mtafute prof. Christine noe palanjo

Hilo jina halijawahi exist UDSM

Thibitisha lecture alianguka?
We jamaa nimekwambia unagugo. Embu gugo jina la Mutebi kama utalipata. Alafu gugo na jina la Harun mana hao mpaka Leo ni walimu hapo. Na ukitaka msaada wa kitafiti nitakuunga na Mukono
 
We jamaa nimekwambia unagugo. Embu gugo jina la Mutebi kama utalipata. Alafu gugo na jina la Harun mana hao mpaka Leo ni walimu hapo. Na ukitaka msaada wa kitafiti nitakuunga na Mukono

Mwambiele kitunya
Thibitisha lecture huyo yupo katika database halafu tuendelee.
 
🤣🤣🤣Sayansi ikikosea inabadilika...we unataka Kama Babu yako alikuwa mjinga na we uwe mjinga eti kisa utamaduni...ndo maana Africa hatuendelei..
Nimekuuliza inayokosea ni sayansi au watu(wana sayansi)? Watu ndio hukosea na si sayansi, yenyewe sayansi ina misingi yake ipo hivyo na ndio maana unakuta kuna mambo kwenye sayansi wanasayansi hutofautiana.
 
Sawa si tunasema umeona hallucinations.. until u probe uchawi ni real tunakusubiria
Nenda kagoogle kuhusu Clairvoyance usikariri tu hiyo hallucinations, kukariri hakukufanyi uonekane msomi bali kuongeza maarifa.
 
Jinns kuanza Arabia ndio nini? Kwamba waarabu ndio wameleta imani uwepo hao viumbe majimi kabla ya jamii zengine? Au kwamba kuna jamii hazina imani ya hao viumbe majini?
😂😂😂😂Jamani elewa jinns ni from ancient Arabia... Muhammad kuleta dini yake na yeye kawatia humo humo...jamii zingine inaamini supernatural things lakini hawaitwi majini. Ukitaka kujua jinns ni Nini angalia Alladin
 
Nimekuuliza inayokosea ni sayansi au watu(wana sayansi)? Watu ndio hukosea na si sayansi, yenyewe sayansi ina misingi yake ipo hivyo na ndio maana unakuta kuna mambo kwenye sayansi wanasayansi hutofautiana.
😂Bac sawa...ur point is? Uchawi vipi Sasa?
 
Nenda kagoogle kuhusu Clairvoyance usikariri tu hiyo hallucinations, kukariri hakukufanyi uonekane msomi bali kuongeza maarifa.
😂Nijibu swali uchawi unachagua maskini na wajinga? Kuna umri na sehemu ya kuona wachawi? Mbona hatubishani kama jua lipo? Ukisema ulimwengu wa roho, Kuna tofauti gani ya ulimwengu wa roho na kitu kuwa Cha kutungwa au hakipo?
 
😂Disney si wajinga... wametengeneza movie kutokana na Imani ya jinns ambayo ipo in the Arab world...😂ni kama little mermaid. Imani ya kuamini mermaids zipo ndo maana movie inatengenezwa...😂Kama vampire diaries etc
Usiniletee references za movies

Walt Disney kampuni ile movie zao nyingi wametengeza kutokana na kitu kina kinaitwa lucid dreaming, sasa nikuulize unaelewa nini maana ya lucid dreaming?

Na sitaki kwenda huku nilichokwambia km huamini kwamba MUNGU yupo huwezi ukazungumzia kuhusu uchawi maana unazungumzia kitu ambacho haukijui kwa hio jitafute kwanza upigwe tukio

Tumbo lijae maji uwe na tumbo km kiloba ukienda hospital wakwambie hawaoni ugonjwa ndio utaelewa Mungu yupo au hayupo na uchawi upo au haupo
 
😂😂😂😂Psychic reading ishakuwa debunked na Wanasayansi kibao...yaani ni kama wale wezi wanaokuambia sijui dada Ako anaumwa cjui bibi yako kafa..afu unaona kweli jamaa anasoma akili..😂💔kumbe ni utapeli kabisa.. 😂😂💔yaani upo serious unasema psychic reading ni uchawi...😂😂😂Bac we inaonekana hujawahi kukutana na watapeli wa dar ..💔😂umejiaibisha kinoma
Tulia tujadili taratibu wala usiwe na mchecheto, suala la matapeli wapo hadi matabibu matapeli na madaktari feki. Wewe binafsi umewahi kusoma kuhusiana na Psychic reading?
 
Back
Top Bottom