Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

😂😂😂Hata spiderman movie Ina kitabu chake sisi tunataka uthibitisho hatutaki vitabu vyako vya story...hizo ni Novels
 
Sasa dogo we maruwe ruwe tu ndo unajua kuwa ni uchawi dahh kmmk wallah, na nishkukataza kureply comments zangu mpaka utawaze
 
😂😂😂Hata spiderman movie Ina kitabu chake sisi tunataka uthibitisho hatutaki vitabu vyako vya story...hizo ni Novels
Uthibitisho wa uchawi ni kwamba we umezaliwa wa kiume lakini umekubali kupumuliwa kisogo na midume mingine, bado tu huamini huo ni uchawi wa kutisha.
Sio hutaki vitabu hizo sio level zako bwabwa
 
Sawa so automatically umekubali kwamba uchawi ni ukosefu wa maarifa juu ya kitu fulani...Ila ukishapata maarifa inakuwa Sayansi. 😁👍sawa asante mkuu...
Hapana, nimetoka kusema kwamba kama mtu atahusisha kitu na uchawi kitu ambacho si uchawi basi huo ukosefu wa maarifa ni wa huyo mtu na si kwamba uchawi ni ukosefu wa maarifa maana ni yeye ndio kahusisha uchawi pasipo ila uchawi utabaki kama ulivyo.

Hauwezi kusema uchawi ni ukosefu wa maarifa wakati huo uchawi wenyewe ni maarifa. Kwenye uchawi kuna kudhuru na kutibu, kupata taarifa n.k
 
Sio suala la majority ni suala la wenye elimu kuamini uchawi hata kama ni wachache.

Naposema ndoto nakusudia kuwa ndoto zina maana hivyo nazungumzia tafsiri za ndoto, najua hili pia utakuwa unapinga.

Eleza sasa unaposema unataka uthibitisho wa uchawi ni nini hasa unataka kifanyike ili ndio iwe uthibitisho wa uchawi?
 
😂😂😂😂We bana toa evidence bac Kama huna tulia
Mimi nakushauri tu mdogo wangu maana umetoka kwenye kutuambia kuendesha bicycle ni sayansi mara unakuja na habari za movies mwishowe utakuja na cartoons za tom and jery hapa.
 
😂😂😂😂😂Psychic reading ni mind games tu. Hamna uchawi wowote...ni sawa na kucheza na karata au number....we mjinga ambae huelewi na hujui ndo unasema uchawi mwenzako tapeli tu yule
Sasa umekubali mwenyewe kuwa haujasoma kuhusu hivyo vitu hapo unaongea kijumla jumla, sijui kwanini mnatumia nguvu sana kubisha kuliko hata kujifunza?

Hakuna kitu rahisi kama kupinga, waliposema ukibishana na mjinga atakushinda tu ndio kama hivi. Soma kijana usibebe tu misimamo ya watu.
 
Rekebisha hakuna mafanikio yenye uchawi kwa namna yoyote ile as long as huyo mtu tayari anafanya kazi
Ondoa "hakuna sehemu niliposema mafanikio ni uchawi tu"
sababu neno uchawi ni stori za kufikirika za miujiza.
Naimani muda ni daktari bora utakuja hapa jukwaani siku moja we mwenyewe kushuhudia.
 
😂😂😂Dogo unabisha Nini mwanangu...Bac niambie jinns ni Nini..google saa hivi jinns ingia Wikipedia fuatilia historia yake...sisi tunaita majini ni tafsiri ya jinns ambao ni wa kiarabu..na wameanzia huko
Hicho unachokieleza wewe ni maelezo kuhusu majini katika mtazamo wa uislamu ndicho ulichokisoma wewe huko google ila hao viumbe huelezwa tofauti kwa jamii na imani zengine ila wote huwakusudia viumbe hao hao. Mfano wakristo huwaeleza majini tofauti na mtazamo wa uislamu.
 
Naimani muda ni daktari bora utakuja hapa jukwaani siku moja we mwenyewe kushuhudia.


Nilishaambiwa hii sehemu huwezi fanya biashara sababu ya chuma ulete nipo mpaka sasa tangu 2016 hiyo sehemu.

Nilishaambiwa haya kwa idadi nyingi nisiyoyakumbuka.
Fanya kazi fanya kazi, fanya kazi
Hakuna dawa duniani ya kuvuta wateja
Wala hakuna uchawi.

Kama upo thibitisha.
 
😂Bora na wewe umeongea ukweli...😴usikilizwe...
Hakuna cha ukweli, hiko ndio nilichotoka kukwambia kwamba mtu anaweza kuamini kitu fulani ni uchawi kumbe sivyo na hiyo inabaki kuwa ni mtazamo wake tu, sasa hapo jamaa kaona miguu akadhani ni jini sasa huwezi kusema et hakuna majini.
 




Watakwambia upo na unasaidia watu kupata pesa lakini ukiwauliza kivipi wanasema hata wao hawajui ILA anasema upo lakini hapo hapo hajui

Hawa watu wengi ni matapeli kama wale wanaopiga simu wanasema natoka togo huduma kwa wateja.

Tuendelee kutoa Elimu mkuu watu wasiendelee kuibiwa
 


Huyo kamasi tu zimejaa kichwani na anadai kasoma physics.
 
Ni nauli yako tu. UKIJIAMINI, NITAFUTE. Laah acha kubweka hovyo kwenye keyboard.
 
Nimekupa nafasi ya Kushuhudia, Ni nauli yako tu. Utakachoshuhudia nitakuomba ukipeleke maabara kujua utokeaji wake.
 

Uwezo wako wakutoa “wazo” ni dhaifu na uwezo wako wa kutetea ni zero inshot hujui chochote unachojinasibisha kua unajua sana na ndo maana nakupinga sababu kama umesoma ivo vitabu ungeweza kufafanua vizuri tuu na wote tungetulia kukusikiliza ila naona unakimbilia matusi na kukasirika[emoji1]

Yani niende Geita migodini kuona watu wanavyotolewa kafara!!! Yani mnaua watu wasio na hatia mbuzi na kondoo kwa ujinga wenu alafu mi niende kushuhudia!!, then what?, nipige makofi?!!

Spiritual power its all about to depend on second power which is beyond urs hapo ndo tunangukia kwenye ujinga mwingi maana tunabweteka kuamini kuna nguvu itamaliza matatizo yetu yote baada yakufanya vitu flani.


Inshot ngozi nyeusi ilianzisha kitu kinachochwa uchawi ili kua mbadala wakuweka ustaarabu kati yao na kupata majibu ya changamoto za mazingira yanayotuzunguka na ndo maana uchawi asili yake ni vitisho fitna na matumaini tuu na hakuna lingine ila science ni majibu yalio halisia yalotokana na matumizi ya akili kutawala mazingira.


elimu zote unazozisema umesoma niambie ni vipi zinarelate na science wakati ushaponda hapo juu kua science ni upuuzi then unajichanganya mwenyewe kuja kutaka kubond science na uchawi ili vionekane viko sawa.
 

kweli hapa ndo unazidi kuonesha ni jinsi gani hujui kitu kwenye vyote unavyojinasibisha kua navyo, aaya naona umerukia kwa marasta ok tuelezee sisi wajinga kuhusu library zinazotembea[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…