Sasa umeprove kipi kuwa hayo matambiko hayajafanya kazi, nenda huko mgodini Geita ukaone watu wanavyodondoshwa kafara. Tena kwa mijitu vipofu kama nyie ndo mnaliwa bichwa mapema.
Afu tafuteni maarifa someni vitabu haya ninayokwambia yote nimeyasoma kwenye vitabu, nyinyi mnaita uchawi mi naita spiritual waorks au energy manipulation na siongelei hao waganga kijijini kwenu na hizo story zako za uongo na kweli sijui mdogo wako alipandisha nini, im talking about spirtual works and how they operate on spiritual world. Kwa kuwa nina uelewa na hayo mambo siwezi pinga uchawi haupo kwa sababu najua yote yanawezekana. Tofauti yangu mimi na nyie mimi ninajua kuwa upo nyinyi mnataka kuaminishwa kwa kuthibitishiwa miujiza, tafuteni maarifa nyie acheni uzwazwa sayansi inapoishia ndo spiritual work zinapoanzia wajinga ambao mabichwa yao yashafungwa kwenye box la sayansi hayawezi kuelewa haya mambo.
Get out of the box uuone ulimwengu, si unajichekesha kwenye comment za wanaume.