Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Niliwahi kuamka asubuhi moja nikakuta nywele zangu zimenyolewa mpaka chini kabisa kwenye shina,sio kichwa kizima bali ni kaeneo tu,yaani ni kipara kile kikali kabisa kama sijawahi kuwa na nywele...
 
Acha bhana huyu jamaa ana kazi yake nzuri na nimpambanaji haswa kaanzia Tata mpk zile higer uchawi hapo hauusiki
Mkuu mimi ninamfahamu jamaa mmoja anaitwa kajumulo pale mwananchi alikuwa anauza pipi akaijiongeza akawa anaosha magari pale kituo Cha mafuta Cha oilcom. Akaenda kujiongeza tena akapata kitengo Cha matengenezo ya magari pale oilcom( wanapobadilisha to tyre,wheel alignment na vitu vifananavyi na hivyo)
Baadaye kaingia kwenye transportation industry.

Siku moja nilikutana naye tukiwa gereji tunatengeneza magari, akasema najuta kufanya niliyofanya Ili kupata utajiri. Nikamwambia mimi natamani kuwa kama wewe maana historia yako inatakiwa iandikwe kwenye vutabu kutoka kuuza pipi mpaka kuwa na tandamu 3, hakujibu kitu akasema we acha tu usitamani Cha mtu.
akaniambia wewe c unatafuta hela kiugumu, ili sisi ambao tupo kwenye mtandao ni rahisi kupata msaada na wa kwenye mtandao wetu. mfano unamwona libanika yule, mimi nikimfata naomba unisaidie nimekwama 10m anasema haina shida , ila ukienda wewe msaada wa 500k anakuzungusha zungusha au anakupa hela hewa..
 
Cheki asa ulivyokuwa mhuni una badilisha story. Nimechoka. Ukiwa na ushahidi pure niambie.
 
Niliwahi kuamka asubuhi moja nikakuta nywele zangu zimenyolewa mpaka chini kabisa kwenye shina,sio kichwa kizima bali ni kaeneo tu,yaani ni kipara kile kikali kabisa kama sijawahi kuwa na nywele...
Sawa..story nzuri mkuu
 
Cheki asa ulivyokuwa mhuni una badilisha story. Nimechoka. Ukiwa na ushahidi pure niambie.
Hakuna nilichobadili bali wewe tu hausomi kwa kutulia. Mimi nataka maelezo tu kitaalamu kutoka kwenye hayo matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…