Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Attachments

  • 28003609f16016604a8156e46499a8e9.jpg
    28003609f16016604a8156e46499a8e9.jpg
    44.1 KB · Views: 9
Niliwahi kuamka asubuhi moja nikakuta nywele zangu zimenyolewa mpaka chini kabisa kwenye shina,sio kichwa kizima bali ni kaeneo tu,yaani ni kipara kile kikali kabisa kama sijawahi kuwa na nywele...
 
Acha bhana huyu jamaa ana kazi yake nzuri na nimpambanaji haswa kaanzia Tata mpk zile higer uchawi hapo hauusiki
Mkuu mimi ninamfahamu jamaa mmoja anaitwa kajumulo pale mwananchi alikuwa anauza pipi akaijiongeza akawa anaosha magari pale kituo Cha mafuta Cha oilcom. Akaenda kujiongeza tena akapata kitengo Cha matengenezo ya magari pale oilcom( wanapobadilisha to tyre,wheel alignment na vitu vifananavyi na hivyo)
Baadaye kaingia kwenye transportation industry.

Siku moja nilikutana naye tukiwa gereji tunatengeneza magari, akasema najuta kufanya niliyofanya Ili kupata utajiri. Nikamwambia mimi natamani kuwa kama wewe maana historia yako inatakiwa iandikwe kwenye vutabu kutoka kuuza pipi mpaka kuwa na tandamu 3, hakujibu kitu akasema we acha tu usitamani Cha mtu.
akaniambia wewe c unatafuta hela kiugumu, ili sisi ambao tupo kwenye mtandao ni rahisi kupata msaada na wa kwenye mtandao wetu. mfano unamwona libanika yule, mimi nikimfata naomba unisaidie nimekwama 10m anasema haina shida , ila ukienda wewe msaada wa 500k anakuzungusha zungusha au anakupa hela hewa..
 
Hapana, mimi nimekuja kujua baadaye na hata hivyo sikuwa nahofu na hicho chumba sikuwa nakiogopa kama ningekuwa nakiogopa hiko chumba nisingekubali kulala, na kwa umri ule hata sikuwa na uelewa kujua chumba cha mganga huwa kinakuwaje hadi niogope.

Halafu nimeuliza wavuvi,walinzi,madereva wa huko kwa wenzetu nao huwa wanaona mauzauza kama huku kutokana na uchovu?
Cheki asa ulivyokuwa mhuni una badilisha story. Nimechoka. Ukiwa na ushahidi pure niambie.
 
Niliwahi kuamka asubuhi moja nikakuta nywele zangu zimenyolewa mpaka chini kabisa kwenye shina,sio kichwa kizima bali ni kaeneo tu,yaani ni kipara kile kikali kabisa kama sijawahi kuwa na nywele...
Sawa..story nzuri mkuu
 
Back
Top Bottom