SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
๐๐๐We Kama umeelewa nijibu babu yake Yesu ni nani, na why Yesu ni mmoja lakini ana generation mbili tofauti? Unijibu watu/malaika wangapi walikuwepo kaburini? Yesu alienda wapi baada ya kuzaliwa, ni misri au Jerusalem? Ukishanijibu haya ndo nitaamini biblia yako ni ya kweli...usije na hoja ya biblia hapa utaaibika Sana..Bwana atakuongoza ipo siku utaelewa.