Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

"Jamii ziliamini uchawi" sasa unapinga nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Dar hakuna uchawi!!!??? Nahisi umelewa wewe.
 
Ubaya wa hawa jamaa wenye kudai kusema kuwa wao wanaamini sayansi tu huwa wanajinyima fursa ya kufikiri nje ya box na kujizuia kuongeza maarifa.
 
Kwahiyo hata wenye kufanyiana uchawi wa limbwata nao ni hallucinations kwa kile wanachokiona?
😂Mwambie huyo anayefanyia anifanyie na Mimi...😁 nimetoa challenge humu ndani Kama uchawi upo mniroge, mniletee mauza uza yote hayo..nendeni kwa waganga nini fanyeni. Mbona mnashindwa
 
Wenzetu huko wazungu na wengineo nao madereva wao, walinzi wao, wavuvi wao n k huwa nao wanaona mauzauza kama huku kwa sababu ya kuchoka?
Ndio...kwa Nini hao tu waone. Na sio watu wengine...😂mi nimechoka bana huu Uzi unaboa, hamna mtu mwenye ushahidi wa uchawi
 
Ubaya wa hawa jamaa wenye kudai kusema kuwa wao wanaamini sayansi tu huwa wanajinyima fursa ya kufikiri nje ya box na kujizuia kuongeza maarifa.
Sayansi sio Imani...😂😂😂elewa. Una macho maskio pua ubongo una fikiri. Sayansi haina biblia, haina adhabu usipo amini na zawadi ukiamini. Coz ukweli hujionyesha..ndo maana ya science. We nje ya box kwako ndo kuamini ujinga na uwongo mi nimegoma. Mpaka mwe na evidence ya kuniconvince naona hapa mnabwabwaja tu
 
😂Mwambie huyo anayefanyia anifanyie na Mimi...😁 nimetoa challenge humu ndani Kama uchawi upo mniroge, mniletee mauza uza yote hayo..nendeni kwa waganga nini fanyeni. Mbona mnashindwa
Utajuaje sasa kama umerogwa? Unaweza ukaelezea?
 
Kwa uelewa wako finyu ndio unafikiri imani ni kuhusu dini na Mungu tu. Nimekuuliza maswali ya msingi hapa ila umeshindwa kuyajibu na kujitetea et wewe sio daktari cha ajabu umeshikilia uthibitishiwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…