Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
S
Story nzuri tena! Na sio hallucination?Sawa..story nzuri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story nzuri tena! Na sio hallucination?Sawa..story nzuri mkuu
Nmeshangaa kama wewe [emoji23][emoji23]Unaposema Halloween ni tradition wanavaa nguo za kichawi nk
Alafu unasema hawaamini uchawi???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Una uhakika ww una akili??
"Jamii ziliamini uchawi" sasa unapinga nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda bac..ulaya makanisa yanageuzwa bar club restaurant kisa watu hawaendi...huku Africa watu ndo wanatajirika na makanisa kisa watu wajinga na Washirikina. Nimekuambiaje Halloween ipo kwa sababu ni tradition. Jamii zao ziliamini uchawi ndio..Ila saa hivi ni fun tu. Ni kama kujikumbushia. Ndo maana watoto wanavaa nguo za mavampires, na vingine kutishana for fun. Ila hawaamini. [emoji1787]Kama unabisha Wikipedia Halloween. Mtu hujui Halloween ni Nini afu unapiga kelele. Yaani ni kama Valentine's day tu, ni siku fulani special kwa ajili ya tradition fulani
Kwamba Dar hakuna uchawi!!!??? Nahisi umelewa wewe.Sawa Ila haupo Sasa....,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimekuambia jamii nyingi za kizungu haziamini uchawi na zinaishi kwa scientific principles. We umeangalia movie za horror unasema wanaamini zile ni entertainment tu Kama sisi tunavyotengeneza eonii. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We na wajinga wenzako ambao hawana elimu ya Sayansi na jamii ndo mnaamini uchawi. Watu tumeelimika hatuwezi amini vitu ambavyo havipo. Kama uchawi upo...tuonyesheni...Mara mtuambie tukue wakubwa, tukue mpaka lini, Mara mtuambie twende sijui wapi, kwani unachagua sehemu.. [emoji1787]Mbona dar hatusikii uchawi au kisa watu Wana elimu, hela na camera ndo maana unawakimbia unaenda kigoma ..vitu vingine jiongeze
Ina uwongo mwingi tu wakutosha... Ukitaka utajwe Kuna article nitakutumiaUnaamini Biblia?
Mi sio daktari. 😂Hakuna nilichobadili bali wewe tu hausomi kwa kutulia. Mimi nataka maelezo tu kitaalamu kutoka kwenye hayo matukio.
Aliyetoa hoja atoe uthibitishoItakuwa hoja kama utataka kuniambia kuwa hawaamini uchawi kisa ni matajiri.
😂Mwambie huyo anayefanyia anifanyie na Mimi...😁 nimetoa challenge humu ndani Kama uchawi upo mniroge, mniletee mauza uza yote hayo..nendeni kwa waganga nini fanyeni. Mbona mnashindwaKwahiyo hata wenye kufanyiana uchawi wa limbwata nao ni hallucinations kwa kile wanachokiona?
Ndio...kwa Nini hao tu waone. Na sio watu wengine...😂mi nimechoka bana huu Uzi unaboa, hamna mtu mwenye ushahidi wa uchawiWenzetu huko wazungu na wengineo nao madereva wao, walinzi wao, wavuvi wao n k huwa nao wanaona mauzauza kama huku kwa sababu ya kuchoka?
Skia. Mkiwa na uthibitisho kuwa uchawi upo...mnishtue. nimechokaS
Story nzuri tena! Na sio hallucination?
Hivi...😂mbona unakuwa hujielewi. Wazungu wakivaa Kama baba Christmas inamaanisha yupo au...mtu akivaa Kama spiderman inamaanisha wa ukweli yupo au...😂😂😂yaani bongo mna ujinga mwingi sana
Zili, past tense. Walikuwa wajinga zamani saa hivi wameelimika. We mbongo unataka alichoamini babu yako ambae hajui sayari na wewe uamini
Bac Kama upo, nipe uthibitisho..au yarushe huku niyaone.. otherwise😂😂😂liesKwamba Dar hakuna uchawi!!!??? Nahisi umelewa wewe.
Sayansi sio Imani...😂😂😂elewa. Una macho maskio pua ubongo una fikiri. Sayansi haina biblia, haina adhabu usipo amini na zawadi ukiamini. Coz ukweli hujionyesha..ndo maana ya science. We nje ya box kwako ndo kuamini ujinga na uwongo mi nimegoma. Mpaka mwe na evidence ya kuniconvince naona hapa mnabwabwaja tuUbaya wa hawa jamaa wenye kudai kusema kuwa wao wanaamini sayansi tu huwa wanajinyima fursa ya kufikiri nje ya box na kujizuia kuongeza maarifa.
Bwana atakuongoza ipo siku utaelewa.Ina uwongo mwingi tu wakutosha... Ukitaka utajwe Kuna article nitakutumia
Kwahiyo wewe uelewa wako unaishia kukariri neno "hallucination" tu?Mi sio daktari. 😂
Utajuaje sasa kama umerogwa? Unaweza ukaelezea?😂Mwambie huyo anayefanyia anifanyie na Mimi...😁 nimetoa challenge humu ndani Kama uchawi upo mniroge, mniletee mauza uza yote hayo..nendeni kwa waganga nini fanyeni. Mbona mnashindwa
Hauna unalojua tatizo unapinga bila hoja.Ndio...kwa Nini hao tu waone. Na sio watu wengine...😂mi nimechoka bana huu Uzi unaboa, hamna mtu mwenye ushahidi wa uchawi
Kwa uelewa wako finyu ndio unafikiri imani ni kuhusu dini na Mungu tu. Nimekuuliza maswali ya msingi hapa ila umeshindwa kuyajibu na kujitetea et wewe sio daktari cha ajabu umeshikilia uthibitishiwe tu.Sayansi sio Imani...😂😂😂elewa. Una macho maskio pua ubongo una fikiri. Sayansi haina biblia, haina adhabu usipo amini na zawadi ukiamini. Coz ukweli hujionyesha..ndo maana ya science. We nje ya box kwako ndo kuamini ujinga na uwongo mi nimegoma. Mpaka mwe na evidence ya kuniconvince naona hapa mnabwabwaja tu