SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂😂😂Bado upo kwenye ubishi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Bado upo kwenye ubishi tu?
😂Mi nachukia wajinga wanaosema uchawi upoNachukia sana kiumbe dhaifu ambacho kinasema hakuna uchawi
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Tatizo mtu anabisha kwamba hakuna uchawi kwa kukariri tu misimamo ya watu ambao wapo huko kwenye jamii ambazo hazijihusishi sana na uchawi.Nachukia sana kiumbe dhaifu ambacho kinasema hakuna uchawi
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Uchawi ungekuwepo ungekuwa Kama jua...hamna mtu anaebisha jua lipo...hamna anaebisha jua ni duara au boksi au triangle au ni la blue au pink au green...coz kila mtu analiona linaexist...kukishakuwa na imagination za watu kadhaa waliokosa uelewa wa kisayansi na kuhisi kila wanachokiona na kukiskia ni Cha ukweli matokeo yake ndo hizo Imani za kishirikina...Tatizo mtu anabisha kwamba hakuna uchawi kwa kukariri tu misimamo ya watu ambao wapo huko kwenye jamii ambazo hazijihusishi sana na uchawi.
Ndio maana bado naendelea kusisitiza kuwa unatumia mitazamo ya watu ambao kwao watu hawajihusishi sana na uchawi, huo ni ukweli ambao unatakiwa uukubali kwanza maana ni point muhimu sana sema tu upo hapa kwa ajiri ya ubishi mkuu.Uchawi ungekuwepo ungekuwa Kama jua...hamna mtu anaebisha jua lipo...hamna anaebisha jua ni duara au boksi au triangle au ni la blue au pink au green...coz kila mtu analiona linaexist...kukishakuwa na imagination za watu kadhaa waliokosa uelewa wa kisayansi na kuhisi kila wanachokiona na kukiskia ni Cha ukweli matokeo yake ndo hizo Imani za kishirikina...
Uchawi ni Imani...ni sawa na mi Leo niamini kwamba dunia ni mpira wanaocheza maalien in slow motion ndo maana inazunguka... evidence yoyote utakayonipa nakuambia aliens ni invisible mpaka uwe na macho ya kiroho utawaona..we unadhani tunaeza kuwa na mazungumzo ya kueleweka kweli? Sasa ndo nyie mnavyofanya mkisema uchawi upoNdio maana bado naendelea kusisitiza kuwa unatumia mitazamo ya watu ambao kwao watu hawajihusishi sana na uchawi, huo ni ukweli ambao unatakiwa uukubali kwanza maana ni point muhimu sana sema tu upo hapa kwa ajiri ya ubishi mkuu.
Sidhani kama kinachobishaniwa ni kuuona uchawi bali ni athari za uwepo wa huo uchawi, hapo ndipo ambapo wewe umejipanga kupinga kwa hali yeyote ile. Sisi ambao tunaamini uwepo wa uchawi tunaona athari za kweli kwa hiko kinachoitwa uchawi hivyo si kitu ambacho tunaamini tu pasina kuona athari za uwepo wake katika uhalisi wa maisha yetu ya kila siku.Uchawi ni Imani...ni sawa na mi Leo niamini kwamba dunia ni mpira wanaocheza maalien in slow motion ndo maana inazunguka... evidence yoyote utakayonipa nakuambia aliens ni invisible mpaka uwe na macho ya kiroho utawaona..we unadhani tunaeza kuwa na mazungumzo ya kueleweka kweli? Sasa ndo nyie mnavyofanya mkisema uchawi upo
Bac mi naongelea athari za hao ma aliensSidhani kama kinachobishaniwa ni kuuona uchawi bali ni athari za uwepo wa huo uchawi, hapo ndipo ambapo wewe umejipanga kupinga kwa hali yeyote ile. Sisi ambao tunaamini uwepo wa uchawi tunaona athari za kweli kwa hiko kinachoitwa uchawi hivyo si kitu ambacho tunaamini tu pasina kuona athari za uwepo wake katika uhalisi wa maisha yetu ya kila siku.
Tatizo lipo kwako umekariri msimamo ambao umejengeka kutoka kwa watu ambao kwao hawajihusishi sana na uchawi.
Sasa kama hizo story za Aliens kwa huku Tanzania watu hawazijui ila ukizungumzia uchawi au majini ni vitu ambavyo wanaviishi na sio story za kusomwa kwenye vitabu.Bac mi naongelea athari za hao ma aliens
Ila marekani watu wanatokewa na ma aliensSasa kama hizo story za Aliens kwa huku Tanzania watu hawazijui ila ukizungumzia uchawi au majini ni vitu ambavyo wanaviishi na sio story za kusomwa kwenye vitabu.
Una mambo ya kitoto sana wewe, so sadIla marekani watu wanatokewa na ma aliens
Kwa sababu wengi wanaamini story za uwepo wa hao aliens, ila tunapozungumzia uchawi si kitu ambacho tunaamini kipo bali watu wanashughulika nacho kwenye maisha ya kila siku.Ila marekani watu wanatokewa na ma aliens
😂We ni mjinga Sana ujue...so kitu ambacho wenzako Wanaona ni kipo we unasema wanaamini kisa story ila uchawi Africa ni real na sio story...😂😂😂Sawa special pleader ishia hapaKwa sababu wengi wanaamini story za uwepo wa hao aliens, ila tunapozungumzia uchawi si kitu ambacho tunaamini kipo bali watu wanashughulika nacho kwenye maisha ya kila siku.
huyo dogo angeongea na mzimu wa babu yake, simplem
Kiboko ya wachawi ni nguvu ya Mungu tu iliyopo ndani ya damu ya Yesu.........washauri ndugu zake wampeleke kwenye kanisa lolote akaombewe apokee uponyaji.
Bibi yangu wa mwisho ni wale wabibi waliolewa na wasomi nae anajiona msomi. Msafi sana kwake kuna mkungu basi ukifika kutwa kuokota majani km yuko hotelini.
Sasa pale kwake kuna uwa/fensi alivyoka ndani akamuona jongoo huyu huyu jangoo mweusi mkubwaaa. Akachukua banio la moto na kumbana ili mrushe nje eeenh bwana weeee alimkamata vizuri alivyoanza kumbana ili mrushe nje akashtukia mguu unavunjika, kila akikazana na mfupa nao unavunjika. Yaani unaliaa teh teh teh akafanikiwa kumdodosha lakaini bibi hakuweza teena kutembea tena. Mguu ulivunjika mara kadhaa alilazwa St fransis akawekewa hogo. Mpaka kesho bibi anatembelea magongo. Yule jongoo alizolewa tuu akawekwa nje aendelee na safari yake mwanaharamu yule.
Kipande cha michungwani mpaka Mkata story ziko nyingi [emoji16][emoji16]sanaNilikuwa nasafiri usiku kama saa 9 hivi na Lori niko peke yangu.
Nilipofika maeneo ya michungwani Tanga nikamuona binti mzuri kiasi anasimamisha gari.
Niliamua kutosimama lakini baada ya kufika kwedikwazu nikamuona binti yule yule na ghafla gari ikaanza kukosa nguvu na hatimae ikazima.
Binti akawa analisogelea gari....Sasa huo ni uchawi au ujini????
Biblia inaamini uchawi upo wew unaringa wew nani [emoji16][emoji16] pengine ushalogwa hapo[emoji1787]Toa mfano leta data zenye uthibitisho sio unaongea kwa hisia..acha fikra za kimaskini...fanya kazi maisha yako yote ndo utafanikiwa. Acha wivu kwa watu, uchawi haupo, ungekuwepo na ungekuwa na maendeleo si kila mtu angeenda huko.
😂😂😂Biblia pia Ina aminiBiblia inaamini uchawi upo wew unaringa wew nani [emoji16][emoji16] pengine ushalogwa hapo