Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Tatizo mtu anabisha kwamba hakuna uchawi kwa kukariri tu misimamo ya watu ambao wapo huko kwenye jamii ambazo hazijihusishi sana na uchawi.
Uchawi ungekuwepo ungekuwa Kama jua...hamna mtu anaebisha jua lipo...hamna anaebisha jua ni duara au boksi au triangle au ni la blue au pink au green...coz kila mtu analiona linaexist...kukishakuwa na imagination za watu kadhaa waliokosa uelewa wa kisayansi na kuhisi kila wanachokiona na kukiskia ni Cha ukweli matokeo yake ndo hizo Imani za kishirikina...
 
Ndio maana bado naendelea kusisitiza kuwa unatumia mitazamo ya watu ambao kwao watu hawajihusishi sana na uchawi, huo ni ukweli ambao unatakiwa uukubali kwanza maana ni point muhimu sana sema tu upo hapa kwa ajiri ya ubishi mkuu.
 
Uchawi ni Imani...ni sawa na mi Leo niamini kwamba dunia ni mpira wanaocheza maalien in slow motion ndo maana inazunguka... evidence yoyote utakayonipa nakuambia aliens ni invisible mpaka uwe na macho ya kiroho utawaona..we unadhani tunaeza kuwa na mazungumzo ya kueleweka kweli? Sasa ndo nyie mnavyofanya mkisema uchawi upo
 
Maji yanatoka juu kwenye dari, jiko la gesi linajiwasha lenyewe live kinoma noma, na kinyesi kutapakaa vyumba vyote mpaka ndani ya masufuria, ila alipofukuzwa mpangaji mmoja vituko vikaisha
 
Uchawi ni Imani...ni sawa na mi Leo niamini kwamba dunia ni mpira wanaocheza maalien in slow motion ndo maana inazunguka... evidence yoyote utakayonipa nakuambia aliens ni invisible mpaka uwe na macho ya kiroho utawaona..we unadhani tunaeza kuwa na mazungumzo ya kueleweka kweli? Sasa ndo nyie mnavyofanya mkisema uchawi upo
Sidhani kama kinachobishaniwa ni kuuona uchawi bali ni athari za uwepo wa huo uchawi, hapo ndipo ambapo wewe umejipanga kupinga kwa hali yeyote ile. Sisi ambao tunaamini uwepo wa uchawi tunaona athari za kweli kwa hiko kinachoitwa uchawi hivyo si kitu ambacho tunaamini tu pasina kuona athari za uwepo wake katika uhalisi wa maisha yetu ya kila siku.

Tatizo lipo kwako umekariri msimamo ambao umejengeka kutoka kwa watu ambao kwao hawajihusishi sana na uchawi.
 
Bac mi naongelea athari za hao ma aliens
 
Kwa sababu wengi wanaamini story za uwepo wa hao aliens, ila tunapozungumzia uchawi si kitu ambacho tunaamini kipo bali watu wanashughulika nacho kwenye maisha ya kila siku.
😂We ni mjinga Sana ujue...so kitu ambacho wenzako Wanaona ni kipo we unasema wanaamini kisa story ila uchawi Africa ni real na sio story...😂😂😂Sawa special pleader ishia hapa
 
huyo dogo angeongea na mzimu wa babu yake, simplem
Kiboko ya wachawi ni nguvu ya Mungu tu iliyopo ndani ya damu ya Yesu.........washauri ndugu zake wampeleke kwenye kanisa lolote akaombewe apokee uponyaji.
On the land of magic

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Bibi yangu wa mwisho ni wale wabibi waliolewa na wasomi nae anajiona msomi. Msafi sana kwake kuna mkungu basi ukifika kutwa kuokota majani km yuko hotelini.
Sasa pale kwake kuna uwa/fensi alivyoka ndani akamuona jongoo huyu huyu jangoo mweusi mkubwaaa. Akachukua banio la moto na kumbana ili mrushe nje eeenh bwana weeee alimkamata vizuri alivyoanza kumbana ili mrushe nje akashtukia mguu unavunjika, kila akikazana na mfupa nao unavunjika. Yaani unaliaa teh teh teh akafanikiwa kumdodosha lakaini bibi hakuweza teena kutembea tena. Mguu ulivunjika mara kadhaa alilazwa St fransis akawekewa hogo. Mpaka kesho bibi anatembelea magongo. Yule jongoo alizolewa tuu akawekwa nje aendelee na safari yake mwanaharamu yule.
Nilikuwa nasafiri usiku kama saa 9 hivi na Lori niko peke yangu.
Nilipofika maeneo ya michungwani Tanga nikamuona binti mzuri kiasi anasimamisha gari.
Niliamua kutosimama lakini baada ya kufika kwedikwazu nikamuona binti yule yule na ghafla gari ikaanza kukosa nguvu na hatimae ikazima.
Binti akawa analisogelea gari....Sasa huo ni uchawi au ujini????
Kipande cha michungwani mpaka Mkata story ziko nyingi [emoji16][emoji16]sana
 
[emoji1787]Toa mfano leta data zenye uthibitisho sio unaongea kwa hisia..acha fikra za kimaskini...fanya kazi maisha yako yote ndo utafanikiwa. Acha wivu kwa watu, uchawi haupo, ungekuwepo na ungekuwa na maendeleo si kila mtu angeenda huko.
Biblia inaamini uchawi upo wew unaringa wew nani [emoji16][emoji16] pengine ushalogwa hapo
 
Biblia inaamini uchawi upo wew unaringa wew nani [emoji16][emoji16] pengine ushalogwa hapo
😂😂😂Biblia pia Ina amini
1. Earth is flat
2. Mvua ni maji yanayoangushwa kutoka madirisha ya mbinguni
3. Nyota ni ndogo kuliko mwezi na jua na zinaweza anguka
4. Jua linazunguka dunia
5. Mapepo, majini, malaika, miujiza
6. Popo ni ndege
7. Sungura anacheua
8. Ukimlisha ng'ombe majani ya rangi tofauti ndo anakuwa na rangi tofauti
9. Dunia kujaa maji
10. Dragons, unicorns, etc
11. Anga ni kama ceiling board(firmament)
😂Asa Kama unaamini hiki kitabu Kama basis yako ya facts...bac me Sina msaada na wewe
 
Back
Top Bottom