Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

No siyo maana hiyo. Ningemuelekeza sehemu fulani akaulize tukio fulani.
Wewe unapenda stori stori sana na haujawah kuexperience chochote kuhusu uchawi, minauliza kama upo kwann usiwe waziwazi kama jua kama maji kama upepo ivi ushawahi kuona mtu anapinga uwepo wa baridi au uwepo wa joto? Hayo mambo yenu niyakijinga na ndio maana hakunaga anaeweza kuwaonesha watu live , badala yake niliambiwa , mara nasikia,mara nimeota mara ilimtokea flani
 
😂Watakuambia uende Kijiji fulani...au bado hujakua
 
Nakumbuka nilikua arusha niko naelekea nyumbani moshi, kufika eneo la usa river pale darajani kwa chini kabla hujafika kona ya momella, mida ya saa moja usiku tu hivi, (maeneo ya rivertrees na arusha game lodge) nikawa naona gari mbele yangu inakuja speed kuja kama arusha/usa ikiwa side yangu imewasha full light,
Nikapagawa kama dereva nikasema labda ni mtu tu anaovertake atarudi side yake kushoto...lakini kushangaa naona bado gari hilo liko vile vivile upande wangu,
Nikaangalia kwa nyuma ya hilo gari kujihakikishia nikaona gari lingine ambalo. lilikua side yake kawaida.
Nikawaza moyoni nikasema hii ajali ya uso kwa uso no sweat hamna jinsi,
Hapo kumbuka nilikua speed so hayo yote yametokea ndani ya sekunde kadhaa tu,
Ebana ile kunifikia kama mbele hatua kumi uso kwa siku kitu kikaniambia usife leo jiteteee sijui nini kilishika ustelingi wa gari langu buana nikakata chap kulia ile gari ilipita hapo hapo chaaaap nilipotoka, sasa nikawa nipo side ya yule gari wa nyuma ya ile gari ambaye alikua side yake sahihi, (wrong side kwa upande wangu)
Bahati mzuri alikua kumbe ananiona ninavyohangaika barabarani akapungunguza mwendo,

Ndio pona yangu mana na yeye ningegongana nae uso kwa uso.
Kilichonichosha nikuwa aliniuliza vipi nini tatizo nikawamwambia ni lile gari nilokuwa mbele yake nilopita wrong side nilikua nakwepa,
Jamaa akaniambia mbele yake hakukuwa na gari lolote aloliona lililokuwa linatembea wrong side (side yangu).
Happ ndo nikakosa pumzi kukosa chakusema nakusema hakika uchawi upo
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
TV yetu kwetu ilikua haifanyikazi, tukiipeleka kwa jirani inafanya kazi, ikabidi twende kwa Babu mmoja hiv akatupa hiriz akatuambia tuifunge chin ya meza ilipo TV. Mpaka kesho tiv ipo

Ilikua 2007 handeni
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
Shemeji yangu mm alipatwa na uchiz ghafla, siku iliyompata hali hiyo ya uchiz alitoka kwa ostadhi mmoja kufanya dawa apandishwe cheo kazin kwao.
Shart alopewa na yule ostadhi dawa atakapoitumia asitoke nje au mwanga wa jua asikutane nao kiufupi dawa Ile aitmie usiku na sio mchana.
Kwa haraka zake za tamaa Shem Wang kaona kuchelewa, akaitmia dawa sa7 mchan

Dk chache akaanza kuvua nguo mara anaongea vitu visivyoelewe, ikawa mshike mshike akienda chooni anachora chin
Mim ndio nikawa nnakazi ya kumzuia asifanye vile nilipata sana tabu.
Badae akil zikatujia kwamb jamaa alienda kwa mgaga kwaiyo tufanyeni mawasiliano ya kile kimetokea huyu.
Sim Ina password, ikabidi ni reset apigiwe yule shekh na namna alivyosev anajua yy

Ilichukua muda sana kupata au kujua namba za huyo mtaalam, issue Ile imetokea Toka mchana mpaka sa 2 usiku bado ni bilabila, msaada tukaupata kwa mtu ambae alimconect kua kuna mganga konk anajua

Kupata mawasiliano ya mtaalam, tukamuelezea hali ilivyo kwa mteja wake.
Mtaalam akasema nilimwambia kijana lakin akanipingia kile ambacho nimemshauri kua "anaweza kua na kifua kwa kile atakachokiona!?
Kumbe Shem alitaka mbaya wake yeyote pale kazin amuone ndio shida hapo imeanzia kizazaa

Mtaalam Sasa akasema namie kama mnataka jamaa yenu apone hivi tunavyozungumza hiv Sasa nitumiwe elf90
Watu tukajichanga haraka sana, mtaalam akatumiwa saa6 usiku akaja jamaa kumfanyia dawa
Shemeji yangu baada ya pale akapatwa na usingizi
Mzito kuamka asubuh mzima
Na kazi akaacha hapo hapo now ni dereva bajaji yupo pale zakiem

Hiyo ni 2020
 
Ndo alivyowaambia mwamposa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara pokeeni muujiza wa Fedha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂We ni mjinga Sana ujue...so kitu ambacho wenzako Wanaona ni kipo we unasema wanaamini kisa story ila uchawi Africa ni real na sio story...😂😂😂Sawa special pleader ishia hapa
Afrika uchawi hawasimuliwi kama story za kusadikika bali ni kitu ambacho tunaishi nacho kwenye maisha ya kila siku, watu wanarogwa na kutibiwa ni vitu ambavyo tunaviona kwenye uhalisia. Hivyo athari za uwepo wa uchawi zipo kwenye uhalisia wa maisha yetu, binafsi nilipokuwa mdogo nimeshuhudia(sio kuhadithiwa) tukio zima la kugundulika mchawi katika mmoja wa ndugu ambaye alikiri kuuwa baadhi ya ndugu zake pamoja na wanawe kwa malengo ya kupata ukuu kwenye mambo yao ya kichawi, nilifuatilia tukio zima hadi mwisho wake. Sasa hao wenzetu huko hawajihusishi sana na uchawi hivyo ni kawaida kutoona athari za uchawi kama sehemu zengine mfano Afrika, aliens kwao ni story tu ni tofauti na issue ya uchawi huku afrika.
 
We unajua wenzako hawatokewi na aliens...afu unaishi Nini wewe kwani una dunia yako...we upo mdogo hujielewi unaskia ndugu yako mchawi cjui ndugu kafa unarukia...siwezi bishana utoto kama huu Mimi
 
We unajua wenzako hawatokewi na aliens...afu unaishi Nini wewe kwani una dunia yako...we upo mdogo hujielewi unaskia ndugu yako mchawi cjui ndugu kafa unarukia...siwezi bishana utoto kama huu Mimi
Hao wazungu wakiona kitu hawakielewi hasa usiku wao husema ni alien kwa wenye kuamini story za aliens, zaidi ya hapo ni story tu ndio maana nikakwambia ni kitu tofauti na uchawi kwa maana uchawi sio kitu ambacho watu wanasoma tu story zake bali wana deal nao hasa huku afrika.

Ningekuwa sijielewi nisingeelewa tukio zima kinachoendelea ni nini, ni tukio ambalo hadi leo tukilikumbuka kama ndugu huwa tunalitafakari.
 
😅So uchawi umekuchagua wewe ila wengine tumefichwa au sio...hatuna macho ya "kiroho" 😂haya bana
 
😅So uchawi umekuchagua wewe ila wengine tumefichwa au sio...hatuna macho ya "kiroho" 😂haya bana
Watu kibao humu wameeleza visa vya kichawi walivyoshuhudia kwenye uhalisia wa maisha yao sasa utasemaje uchawi umenichagua mimi tu?

Kuna watu hadi leo hii pamoja na ukubwa wao ila hawajawahi kumshuhudia live shoga(gay) katika maisha yao ila wanajua mashoga wapo, sasa kama wewe hujawahi kukutana na matukio ya kichawi basi usiseme hakuna uchawi.
 
Back
Top Bottom