Daz911
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 742
- 1,238
Tuje kwenye sayansi, kwanini sayansi imeshindwa kutuonyesha upepo upoje ni unavuma tu sayansi haiwezi kufanya chochote kuhusu upepo, kwanini tusiifanye dunia ikawa usiku tu au ikawa mchana tu, au tukasimamisha mda au tuurudishe mda nyuma. Hatuwezi kufanya jua lichomoze magharibi? why science has nothing to do with this?We hunielimishi...unanipa story, story ambazo unajua wewe tu na kijiwe chako...huo sio ushahidi. 🤣🤣Leta ushahidi ambao unaeleweka. Mbona hatubishani kama maji au moto au mbwa wapo?
(Nb usije ukasema hiyo yenyewe ni sayansi)