Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Hivi nikulize, Mfano mtu ambaye alikua masikini kabisa wa kutupwa na ni mtu ambaye unamfahamu kabisa let's say jirani maana jirani ni rahisi kufahamu life lake kwa sabab ya ule ukaribu mlionao, Sasa huyo mtu unajua kazi zake jinsi zilivyo anazo piga,,,,Umejielezea vzuri ILA umeniangusha kusema kuna namna nyuma ya pazia!
Ulipaswa uthibitishe namna nyuma ya pazia kwa kutupa positive link up na wao kupata mazao mengi zaidi ya wengine regardless wamefata kanuni Sawa.
Shida ninapowashinda ni mimi naelezea jinsi mtu anavyofanikiwa kwa kufanya kazi.
Siwezi kuelezea kilimo sina experience nayo
Njia rahisi ya wewe kuprove wrong nachoongea ni kunipa sababu shida mnaishia kusema nyuma ya pazia.
Ghafura unashangaa huyo mtu anafanikiwa ananua magari anajenga majumba ya kifahari kazi anayo fanya haiendani na anacho ki project,, je hapo unaweza amini Kuwa uchawi au ni kazi??
Secondly unamini Uganga wa kenyeji?
Third unamini Kuwa Freemason ipo?
Naomba majibu yako