SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
🤣🤣🤣🤣Basi hao si wangeenda mabank kuu BOT CRDB NMB kuiba. Why wanaiba mtaani hela ndogo ndogo. Au hawana mengi...🤣vitu vingine mnaibiwa kiakili tu hamtaki kukubali mmezidiwa akili mnasingizia chuma ulete. Mi nishawahi tapeliwa ila sikusingizia chuma ulete nikafuatilia mpaka nikajua tactic Yao sijawahi tapeliwa hivyo Tena na nawashaurigi watu wakwepe vitu vya hivyo. Elimu inaokoa...uchawi inadumaza coz hautibu ugonjwa Ila inakupa kisingizio Cha kuendelea kuumwa wakati dawa ni elimu. Dawa ya matatizoInaonyesha ndio mara ya kwanza hata kusikia kuhusu chuma ulete, hujui hata naongelea nini, ndio maana nasema mnapinga kitu ambacho hata hamkielewi.