Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Masters ya nini?

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Aisee polee,
 
Nakuelewa, pole mkuu
 
Inafurahisha na kusikitisha pia, ila amini elimu haijawahi kumtupa mtu, kitu utakacho kosea ni kukata tamaa!
 
Mkuu, wewe bado ni mdogo sana. Mimi nimefanya kazi kampuni 5 mpaka sasa na nilimaliza chuo mwaka 2011, nikakaa kitaa miaka 3 kisha mwaka 2014 huyoo nikalamba shavu. Usikate tamaa mdogo wangu..
 
Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.
 
Daah!! Situation yako ni kama yangu mkuu
 
Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.
Kweli kabisa najua JF ina watu wa aina mbalimbali na wenye moyo wa kusaidia. Humu kuna maboss na waajiri wengi asante sana kwa wazo nitalifanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…